zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Interest rate ikiwa ndogo credit creation inakuwa kubwa so wafanyabiashara wanakua na mitaji mingi na wanakopa sana maana debt servicing ni cheaper. Sasa pesa wakiwa nayo kuna multiplier effect mfano kuajiri zaidi, kupandisha mishahara, kutanua wigo wa biashara n.k mwisho wa siku currency in circulation inaongezeka. Kwahiyo obviously ndani ya muda fulani kutakuwepo na mfumuko wa bei!!Inflation haiwezi kutokea kama interest rate ni ndogo. Pia thamani ya pesa haitashuka. Interest rate ikiwa kubwa, shida ndiyo huanzia hapo.
Interest rate zikiwa juu inaogopesha watu kukopa so uchumi una contract hivo kupunguza pesa kwenye mzunguko which in turn inashusha inflation kama enzi za JPM. Watu walimsifia kushusha inflation but walisahau kwamba pesa haikuwepo mtaani!!