BoT: Pesa ya Tanzania haiwezi kusambaza Virusi vya Corona. Zimetengenezwa kwa namna ambayo zinaweza kuzuia vimelea kusalia kwenye noti

Benki Ongo Tanzania(BOT) inatupiga fiksi mchana kweupeee

New Corona virus ni kirusi jamii ya Corona, ni kirusi mpya, Hizo Clinical trials za kutest survival ya kirusi hicho kwenye noti za Bongo zilifanyika lini?

Halafu eti benki ongo kama hii ndo tutegemee iwe kiongozi wa uchumi wetu

Hopeless kabisa hawa watu
 
WHO wamesema njia pekee ya kukabiliana na ugonjwa huu ni testing,testing ,testing bila shaka na quarantine. Mashaka ni uwezo wetu wa kuendesha extensive testing.
 
Ndio utajua hata idadi ya wagonjwa sio halisi ile idadi ya jana ukizidsha kwa 20 ndio utapata idadi halisi ya wagonjwa
 
View attachment 1392836
Benki Kuu ya Tanzania imesema noti za Tanzania zimetengenezwa kwa namna ambayo haziwezi kuhifadhi virusi.
UWiii hivi jamani hawa viongozi tumewakosea nini. Mungu tunaomba utupe moyo wa kusamehe.

Hii ni nonesense.

Yani virus inakaa kwenye metal tena masaa 6-8 halafu isikae kwenye pesa?
 
View attachment 1392836
Benki Kuu ya Tanzania imesema noti za Tanzania zimetengenezwa kwa namna ambayo haziwezi kuhifadhi virusi.
Taarifa hii inazidisha wasiwasi. Wanakanusha na kisha wanaonesha zinaweza kusambaza! Bahati mbaya uchumi wetu ni wa cash. Biashara nyingi zunahitaji mapesa cash. Pengine sasa ni mwafaka kubadilisha utamaduni huu ili tuingie hatua ingine ya kufanya biashara kwa kutumia digital...malupo kwa simu na kadi bila kuhitaji cash mkononi.
 
View attachment 1392836
Benki Kuu ya Tanzania imesema noti za Tanzania zimetengenezwa kwa namna ambayo haziwezi kuhifadhi virusi.

Tanzania kila kitu ni miujiza miujiza mara noti haitunzi vimelea lakini ukishika note mara unawe mara kwa mara in short ni kwamba bado ni wasiwasi mptupu bora tu muache kugusa hizo note anzisheni utaratibu wa kulipia online au kwa kadi kama huku, mimi toka niingie nchi hii sijawahi kushika hela kwa mkono wangu.
 
Usiwaamini hawa watu. Ukigusana na kitu chochote (mkono wa mtu, mguu wa mtu, door knob, ukuta, kiti cha daladala, pesa etc etc, nawa mikono haraka au tumia sanitizer. Hakuna shortcut hapa.
Hivi sanitezer inaua virusi au bacteria?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…