lunatoc
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 2,911
- 5,479
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila kitu Tz ni siasa. Kwamba hii noti inayo oza baada ya mizunguko miwili ni bora kuliko Dollar?? Huu ni utani sasa..Wametumia kipimo gani kuthibitisha wakati wazungu wenye uwezo mkubwa wanahamasishana watumie e money kuepusha cash maana zinaweza kusambaza?
WHO wamesema njia pekee ya kukabiliana na ugonjwa huu ni testing,testing ,testing bila shaka na quarantine. Mashaka ni uwezo wetu wa kuendesha extensive testing.Mimi pia ninaamini sana kwamba upo, ili nikitinganisha hali ilivyo kwa wenzetu na huko kwetu unaweza ukapata hisia kwamba we have better awareness, coordination na Heslth Systems, nadhani kuna mchezo unaendelea upande wetu au hatuna kabisa uwezo juu ya hili.
[emoji3][emoji16]Mwambie dokta noti hazishiki kirusi BOT wamesema noti zetu zinajisanitise[emoji23][emoji23]View attachment 1392850
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio utajua hata idadi ya wagonjwa sio halisi ile idadi ya jana ukizidsha kwa 20 ndio utapata idadi halisi ya wagonjwa🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣🤣🤣
Mbavu zangu jamani sijawahi kuona serikali inayodanganya raia wake kama hii Hahahahahhahahahahhahahaaaaaiiiii Toba!
UWiii hivi jamani hawa viongozi tumewakosea nini. Mungu tunaomba utupe moyo wa kusamehe.View attachment 1392836
Benki Kuu ya Tanzania imesema noti za Tanzania zimetengenezwa kwa namna ambayo haziwezi kuhifadhi virusi.
Taarifa hii inazidisha wasiwasi. Wanakanusha na kisha wanaonesha zinaweza kusambaza! Bahati mbaya uchumi wetu ni wa cash. Biashara nyingi zunahitaji mapesa cash. Pengine sasa ni mwafaka kubadilisha utamaduni huu ili tuingie hatua ingine ya kufanya biashara kwa kutumia digital...malupo kwa simu na kadi bila kuhitaji cash mkononi.View attachment 1392836
Benki Kuu ya Tanzania imesema noti za Tanzania zimetengenezwa kwa namna ambayo haziwezi kuhifadhi virusi.
😂😂😂 yaani sisi tuko juu. Tuko vizuri.
Haingii akilini kabisa!!!
No stamp,no signatureView attachment 1392836
Benki Kuu ya Tanzania imesema noti za Tanzania zimetengenezwa kwa namna ambayo haziwezi kuhifadhi virusi.
Kwa hiyo kirusi kikitua kwenye noti kinauawa hapo hapo?
Sent from my typewriter using Tapatalk
View attachment 1392836
Benki Kuu ya Tanzania imesema noti za Tanzania zimetengenezwa kwa namna ambayo haziwezi kuhifadhi virusi.
Hivi sanitezer inaua virusi au bacteria?Usiwaamini hawa watu. Ukigusana na kitu chochote (mkono wa mtu, mguu wa mtu, door knob, ukuta, kiti cha daladala, pesa etc etc, nawa mikono haraka au tumia sanitizer. Hakuna shortcut hapa.