Wazee wa kukanusha kaziniWametumia kipimo gani kuthibitisha wakati wazungu wenye uwezo mkubwa wanahamasishana watumie e money kuepusha cash maana zinaweza kusambaza?
View attachment 1392836
Benki Kuu ya Tanzania imesema noti za Tanzania zimetengenezwa kwa namna ambayo haziwezi kuhifadhi virusi.
Ni 'chaos' tu. Mtu anayeweza kutueleza hayo ni mtaalam wa Sayansi na hasa maambukizi.Wametumia kipimo gani kuthibitisha wakati wazungu wenye uwezo mkubwa wanahamasishana watumie e money kuepusha cash maana zinaweza kusambaza?
Ni 'chaos' tu. Mtu anayeweza kutueleza hayo ni mtaalam wa Sayansi na hasa maambukizi.
Haihitaji akili kujua kuwa kama umeshika pesa na vitu kama kamasi , mate etc na mwingine akaichukua atakuwa amebeba vimelea. Inategemea huyo aliyebeba atatumiaje tahadhari.
Pili, BOT hawawezi kuongelea masuala ya afya. Hilo walitakiwa walipeleke wizara ya afya ilitolee majibu.
Wamejaribu na kujikuta wanajichafua tu.
Kuna vurugu nyingi, asubuhi utasikia IGP anasema hili, jioni BoT, kesho wizara keshokutwa so and so.
Hakuna organization ya flow of information , ni vurugu tu . Hilo linatisha kuliko COVID yenyewe.
Tulitakiwa tuwe na task force inayo update wananchi na kujibu hoja zikiwemo za kitaalamu, siyo holela kama hili la BoT
JokaKuu The Boss Pascal Mayalla
View attachment 1392836
Benki Kuu ya Tanzania imesema noti za Tanzania zimetengenezwa kwa namna ambayo haziwezi kuhifadhi virusi.
Usiwaamini hawa watu. Ukigusana na kitu chochote (mkono wa mtu, mguu wa mtu, door knob, ukuta, kiti cha daladala, pesa etc etc, nawa mikono haraka au tumia sanitizer. Hakuna shortcut hapa.
Noti zetu zina sanitizer aautomatically hakika Tanzania ni nchi tajir
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa naanza kupata hisia kwamba hata yule Isabella Mwampamba huenda ni mchongo uliochongwa na serikali ajitangaze kwamba ana Corona halafu ionekane pamoja na kuwa na Corona lakini si tishio kwasababu pamoja na kuwa na maambukizi lakini haumwi chochote kile.
Yote hayo ni ili kuondoa Panic.
Eitherway, ugonjwa huu umekuzwa sana na ni matokeo ya kila mtu kumiliki 'chombo' cha habari.
NA SIO HIVYO TU, WATAALAM WA AFYA WANASEMA KWENYE NOTI VIRUS WANAKAA HAI HADI MASAA KARIBU 24, NA KWENYE VITU VYA PLASTIC HADI SAA 72.Ni 'chaos' tu. Mtu anayeweza kutueleza hayo ni mtaalam wa Sayansi na hasa maambukizi.
Haihitaji akili kujua kuwa kama umeshika pesa na vitu kama kamasi , mate etc na mwingine akaichukua atakuwa amebeba vimelea. Inategemea huyo aliyebeba atatumiaje tahadhari.
Pili, BOT hawawezi kuongelea masuala ya afya. Hilo walitakiwa walipeleke wizara ya afya ilitolee majibu.
Wamejaribu na kujikuta wanajichafua tu.
Kuna vurugu nyingi, asubuhi utasikia IGP anasema hili, jioni BoT, kesho wizara keshokutwa so and so.
Hakuna organization ya flow of information , ni vurugu tu . Hilo linatisha kuliko COVID yenyewe.
Tulitakiwa tuwe na task force inayo update wananchi na kujibu hoja zikiwemo za kitaalamu, siyo holela kama hili la BoT
JokaKuu The Boss Pascal Mayalla
Tunamshukuru Waziri mkuu kwa kutusikiliza na kutoa tamko la nani anapaswa kutoa taarifa za COVID-19.Ni 'chaos' tu. Mtu anayeweza kutueleza hayo ni mtaalam wa Sayansi na hasa maambukizi.