BoT: Pesa ya Tanzania haiwezi kusambaza Virusi vya Corona. Zimetengenezwa kwa namna ambayo zinaweza kuzuia vimelea kusalia kwenye noti

March 19, 2020

Mahojiano Live: Coronavirus: Tanzania latest

Taarifa sahihi ya serikali kwa umma

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Engelbert Ndugulile azungumzia Covid-19 (coronavirus)

Naibu Waziri ambaye kitaaluma ni mtabibu aliyehitimu masomo ya udaktari wa binadamu katika vyuo vikuu vya Muhimbili MUCHS Tanzania na ngazi ya masters huko Afrika ya Kusini leo kwa faida ya umma anazungumza na Ayo TV.
 
MAMBO YA AFYA SISI TUNACHUKUA DATA ZA WIZARA YA AFYA. NADHANI ZINATOSHA JAMANI.
 
Wametumia kipimo gani kuthibitisha wakati wazungu wenye uwezo mkubwa wanahamasishana watumie e money kuepusha cash maana zinaweza kusambaza?
Ni 'chaos' tu. Mtu anayeweza kutueleza hayo ni mtaalam wa Sayansi na hasa maambukizi.

Haihitaji akili kujua kuwa kama umeshika pesa na vitu kama kamasi , mate etc na mwingine akaichukua atakuwa amebeba vimelea. Inategemea huyo aliyebeba atatumiaje tahadhari.

Pili, BOT hawawezi kuongelea masuala ya afya. Hilo walitakiwa walipeleke wizara ya afya ilitolee majibu.
Wamejaribu na kujikuta wanajichafua tu.

Kuna vurugu nyingi, asubuhi utasikia IGP anasema hili, jioni BoT, kesho wizara keshokutwa so and so.
Hakuna organization ya flow of information , ni vurugu tu . Hilo linatisha kuliko COVID yenyewe.

Tulitakiwa tuwe na task force inayo update wananchi na kujibu hoja zikiwemo za kitaalamu, siyo holela kama hili la BoT

JokaKuu The Boss Pascal Mayalla
 
..atakayetuokoa ni MUNGU.

..serikali hii haina uwezo wa kupambana na huu ugonjwa.
 
Zina anti virus
Usiwaamini hawa watu. Ukigusana na kitu chochote (mkono wa mtu, mguu wa mtu, door knob, ukuta, kiti cha daladala, pesa etc etc, nawa mikono haraka au tumia sanitizer. Hakuna shortcut hapa.

Jr[emoji769]
 
Hizihizi zinazonileteaga Mafua kilamara hasa ninapopokea kwa wenzetu wanaozificha ndanindani!!
Wanahisi tutaogopa biashara zitadorora?? Pesa labda iambukize ukimwi mengine potelea mbali
 
Halafu mtu anatokea from nowhere anasema Tanzania hakuna Manabii? Huu ni unabii sahihi, kwamba wakati noti zetu zinatengenezwa tayari Maafisa wetu walishajua huko mbeleni kutakuws na Corona, Big up BOT.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa naanza kupata hisia kwamba hata yule Isabella Mwampamba huenda ni mchongo uliochongwa na serikali ajitangaze kwamba ana Corona halafu ionekane pamoja na kuwa na Corona lakini si tishio kwasababu pamoja na kuwa na maambukizi lakini haumwi chochote kile.
Yote hayo ni ili kuondoa Panic.

Eitherway, ugonjwa huu umekuzwa sana na ni matokeo ya kila mtu kumiliki 'chombo' cha habari.

Ni muhimu kutopanic lakini ni vizuri kujifunza kwa wenzetu tusirudie makosa yao.

Kesi ya kwanza kutangazwa Italia ilikuwa tarehe 31 Januari watu wawili walipobainika kuwa nao. Tarehe 21 Februari walikuwa na watu 20 walioambukizwa na kifo cha kwanza. Leo tarehe 20 Machi wana vifo zaidi ya 3400 na maambukizi zaidi ya 41,000. Ndani ya mwezi mmoja wamekufa zaidi ya watu 3,400. Tusiupuuzie ndugu yangu
 
Ni 'chaos' tu. Mtu anayeweza kutueleza hayo ni mtaalam wa Sayansi na hasa maambukizi.

Haihitaji akili kujua kuwa kama umeshika pesa na vitu kama kamasi , mate etc na mwingine akaichukua atakuwa amebeba vimelea. Inategemea huyo aliyebeba atatumiaje tahadhari.

Pili, BOT hawawezi kuongelea masuala ya afya. Hilo walitakiwa walipeleke wizara ya afya ilitolee majibu.
Wamejaribu na kujikuta wanajichafua tu.

Kuna vurugu nyingi, asubuhi utasikia IGP anasema hili, jioni BoT, kesho wizara keshokutwa so and so.
Hakuna organization ya flow of information , ni vurugu tu . Hilo linatisha kuliko COVID yenyewe.

Tulitakiwa tuwe na task force inayo update wananchi na kujibu hoja zikiwemo za kitaalamu, siyo holela kama hili la BoT

JokaKuu The Boss Pascal Mayalla
NA SIO HIVYO TU, WATAALAM WA AFYA WANASEMA KWENYE NOTI VIRUS WANAKAA HAI HADI MASAA KARIBU 24, NA KWENYE VITU VYA PLASTIC HADI SAA 72.
ALIKUWA ANAHOJIWA MTU WA AFYA KUTOKA MUHIMBILI CHANNEL TEN JUZI. AKIREFER MAELEZO YAKE KUTOKA WHO.
 
1584685074118.png

Unaambiwa hivi cha kuambiwa changanya na chako.

Karibuni Supu...ila uje umenawa 😀 😀 😀 😀 Na nina plan ya kumpa mtoa supu hiyo noti nyeusi kama tatu.

Akibisha namuonesha bango la BOT
 
Ni 'chaos' tu. Mtu anayeweza kutueleza hayo ni mtaalam wa Sayansi na hasa maambukizi.

Haihitaji akili kujua kuwa kama umeshika pesa na vitu kama kamasi , mate etc na mwingine akaichukua atakuwa amebeba vimelea. Inategemea huyo aliyebeba atatumiaje tahadhari.

Pili, BOT hawawezi kuongelea masuala ya afya. Hilo walitakiwa walipeleke wizara ya afya ilitolee majibu.
Wamejaribu na kujikuta wanajichafua tu.

Kuna vurugu nyingi, asubuhi utasikia IGP anasema hili, jioni BoT, kesho wizara keshokutwa so and so.
Hakuna organization ya flow of information , ni vurugu tu . Hilo linatisha kuliko COVID yenyewe.

Tulitakiwa tuwe na task force inayo update wananchi na kujibu hoja zikiwemo za kitaalamu, siyo holela kama hili la BoT

JokaKuu The Boss Pascal Mayalla
Tunamshukuru Waziri mkuu kwa kutusikiliza na kutoa tamko la nani anapaswa kutoa taarifa za COVID-19.

Hii ni hatua nzuri, ilifika mahali kila anayeamka anatoa tamko. BoT mara IGP tulikuwa tunasubiri TRA, TCRA, Mahakama n.k. ilimradi tu kila mmoja alikuwa na kipaza sauti. Nadhani hatua ya Waziri mkuu ni ya kupongezwa.

Tamko la PM litapunguza chaos iliyokuwepo na kututia hofu kuliko Covid. Fikiria BoT na COVID-19 wapi na wapi!
 
Back
Top Bottom