Namnukuu JK.. Za kuambiwa...? Changanya na za kwakoWakati tunaendelea kupambana na Hili janga nimekuwa nikijiuliza kuhusu namna jinsi tunavyobadilishana
Fedha!
Nakumbuka awali kabisaa Gavana wa BOT alielezs kuwa noti haziwezi kubeba virusi!
Hakuwahi kugusia sarafu!
Sijawahi tena kumsikia mtaalamu yoyote wa Afya akilizungumzia Hili!
Je tuendelee kuamini maneno ya Gavana wa BOT?
Vipi kuhusu Sarafu!?
Hili nalo ji jibu nashukuru!Ww.acha.kutumiwa na.mbuzi dume hujui.kama hii n.dona kantri halafu noti yake iambukize.korona?Ni mapapai,mafenesi,kware na.mbuzi tu acha hizo
Sent using Jamii Forums mobile app
Uwezekano wa maambukizi upo mkubwa sana, baadhi ya nnchi noti zao ni za plastic kwahiyo unaweza kuzikosha au sanitize , vile vile wafanya biashara wengi wa nnchi za nnje wanashauri kutumia kadi badala ya pesa taslimu.Wakati tunaendelea kupambana na Hili janga nimekuwa nikijiuliza kuhusu namna jinsi tunavyobadilishana
Fedha!
Nakumbuka awali kabisaa Gavana wa BOT alielezs kuwa noti haziwezi kubeba virusi!
Hakuwahi kugusia sarafu!
Sijawahi tena kumsikia mtaalamu yoyote wa Afya akilizungumzia Hili!
Je tuendelee kuamini maneno ya Gavana wa BOT?
Vipi kuhusu Sarafu!?
Vipi hiyo noti au sarafu kama ina hao virusi? Tuchukulie umerudishiwa na mtu chenji ukaiweka mfukoni, je hao virusi si bado wako kwenye noti pia au chenji kwahiyo unawaweka mfuko pia kwahiyo hata baada ya hapo ukinawa bado hao virusi unao kwenye mfuko wa shati, suruali au waleti so huoni kama risk bado iko pale pale hasa kwa wale tunaopenda kuweka mikono mfukoni?Hapo Wataalamu wa noti wanasema Haziambukizi, unapaswa kunawa mikono kwa maji tiririka au kutumia sanitizers kila wakati ukishika chochote, ndio maana kabla hujaingia banks or kwenye ATM unanawa na ukimaliza unanawa tena
P
Achana na wana mapambio. Nikiwa na coronavirus mikononi nikazishika na kuacha pale virus , definitely utavibeba...ukijishika mdomoni, puani tayari umeji- infectNakumbuka awali kabisaa Gavana wa BOT alielezs kuwa noti haziwezi kubeba virusi!
Uwezekano wa maambukizi upo mkubwa sana, baadhi ya nnchi noti zao ni za plastic kwahiyo unaweza kuzikosha au sanitize , vile vile wafanya biashara wengi wa nnchi za nnje wanashauri kutumia kadi badala ya pesa taslimu. Lakini huko kwetu yote hayo ni vigumu.
Itabidi sasa ukipiga nyungu na pesa zako pia uzipige nyungu.
Muhimu ill kujikinga nilazima tujitahidi kuosha mikono kila wakati ,hakikisha hujigusi sehemu yoyote ya uso wako kabla ya kunawa mikono.Vipi hiyo noti au sarafu kama ina hao virusi? Tuchukulie umerudishiwa na mtu chenji ukaiweka mfukoni, je hao virusi si bado wako kwenye noti pia au chenji kwahiyo unawaweka mfuko pia kwahiyo hata baada ya hapo ukinawa bado hao virusi unao kwenye mfuko wa shati, suruali au waleti so huoni kama risk bado iko pale pale hasa kwa wale tunaopenda kuweka mikono mfukoni?
Kwahiyo hoja ya kunawa kabla na baada ya kuingia bank ni sawa lkn bado naona hatari kama hizi note au sarafi zinabeba hao virusi
Sent using kidole gumba