BoT: Pesa ya Tanzania haiwezi kusambaza Virusi vya Corona. Zimetengenezwa kwa namna ambayo zinaweza kuzuia vimelea kusalia kwenye noti

BoT: Pesa ya Tanzania haiwezi kusambaza Virusi vya Corona. Zimetengenezwa kwa namna ambayo zinaweza kuzuia vimelea kusalia kwenye noti

Wakati tunaendelea kupambana na Hili janga nimekuwa nikijiuliza kuhusu namna jinsi tunavyobadilishana Fedha!

Nakumbuka awali kabisaa Gavana wa BOT alielezs kuwa noti haziwezi kubeba virusi!
Hakuwahi kugusia sarafu!

Sijawahi tena kumsikia mtaalamu yoyote wa Afya akilizungumzia Hili!
Je tuendelee kuamini maneno ya Gavana wa BOT?

Vipi kuhusu Sarafu!?
 
Hapo Wataalamu wa noti wanasema Haziambukizi, unapaswa kunawa mikono kwa maji tiririka au kutumia sanitizers kila wakati ukishika chochote, ndio maana kabla hujaingia banks or kwenye ATM unanawa na ukimaliza unanawa tena
P
 
Wakati tunaendelea kupambana na Hili janga nimekuwa nikijiuliza kuhusu namna jinsi tunavyobadilishana
Fedha!

Namnukuu JK.. Za kuambiwa...? Changanya na za kwako

Jr[emoji769]
 
Wakati tunaendelea kupambana na Hili janga nimekuwa nikijiuliza kuhusu namna jinsi tunavyobadilishana
Fedha!
Nakumbuka awali kabisaa Gavana wa BOT alielezs kuwa noti haziwezi kubeba virusi!
Hakuwahi kugusia sarafu!
Sijawahi tena kumsikia mtaalamu yoyote wa Afya akilizungumzia Hili!
Je tuendelee kuamini maneno ya Gavana wa BOT?
Vipi kuhusu Sarafu!?
Uwezekano wa maambukizi upo mkubwa sana, baadhi ya nnchi noti zao ni za plastic kwahiyo unaweza kuzikosha au sanitize , vile vile wafanya biashara wengi wa nnchi za nnje wanashauri kutumia kadi badala ya pesa taslimu.

Lakini huko kwetu yote hayo ni vigumu.
Itabidi sasa ukipiga nyungu na pesa zako pia uzipige nyungu.
 
Hapo Wataalamu wa noti wanasema Haziambukizi, unapaswa kunawa mikono kwa maji tiririka au kutumia sanitizers kila wakati ukishika chochote, ndio maana kabla hujaingia banks or kwenye ATM unanawa na ukimaliza unanawa tena
P
Vipi hiyo noti au sarafu kama ina hao virusi? Tuchukulie umerudishiwa na mtu chenji ukaiweka mfukoni, je hao virusi si bado wako kwenye noti pia au chenji kwahiyo unawaweka mfuko pia kwahiyo hata baada ya hapo ukinawa bado hao virusi unao kwenye mfuko wa shati, suruali au waleti so huoni kama risk bado iko pale pale hasa kwa wale tunaopenda kuweka mikono mfukoni?

Kwahiyo hoja ya kunawa kabla na baada ya kuingia bank ni sawa lkn bado naona hatari kama hizi note au sarafi zinabeba hao virusi

Sent using kidole gumba
 
Ndo ujifunze sasa kunawa mikono mara kwa mara, tembea na sanitizer tumia kusafishia mikono mda wote, adapt mazingira ya kutogusa pua, macho mdomo,

Ukifika nyumbani, fua nguo kwa sabuni, ikiwezekana chemsha maji moto loweka kwanza
 
Sio mbaya kutembea na sanitizer ndogo ya spray ambayo unaweza ukaitumia kwenye vitu mbalimbali unavyoshika.
 
Kama noti au coin zina uwezo wa kubeba virusi basi hakuna aliye salama ndg zangu tusidanganyane,hakuna Cha sanitizer wala sabuni,Me bado naungana na Rais, wa kuombwa Ni Mungu pekee...huwez kukwepa kushika noti au coin hata unawe Kila sekunde,utajisahau tu hii Ni lazima yan.
 
Nakumbuka awali kabisaa Gavana wa BOT alielezs kuwa noti haziwezi kubeba virusi!
Achana na wana mapambio. Nikiwa na coronavirus mikononi nikazishika na kuacha pale virus , definitely utavibeba...ukijishika mdomoni, puani tayari umeji- infect
 
Nn pesa upige nyungu tena
Uwezekano wa maambukizi upo mkubwa sana, baadhi ya nnchi noti zao ni za plastic kwahiyo unaweza kuzikosha au sanitize , vile vile wafanya biashara wengi wa nnchi za nnje wanashauri kutumia kadi badala ya pesa taslimu. Lakini huko kwetu yote hayo ni vigumu.
Itabidi sasa ukipiga nyungu na pesa zako pia uzipige nyungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi hiyo noti au sarafu kama ina hao virusi? Tuchukulie umerudishiwa na mtu chenji ukaiweka mfukoni, je hao virusi si bado wako kwenye noti pia au chenji kwahiyo unawaweka mfuko pia kwahiyo hata baada ya hapo ukinawa bado hao virusi unao kwenye mfuko wa shati, suruali au waleti so huoni kama risk bado iko pale pale hasa kwa wale tunaopenda kuweka mikono mfukoni?

Kwahiyo hoja ya kunawa kabla na baada ya kuingia bank ni sawa lkn bado naona hatari kama hizi note au sarafi zinabeba hao virusi

Sent using kidole gumba
Muhimu ill kujikinga nilazima tujitahidi kuosha mikono kila wakati ,hakikisha hujigusi sehemu yoyote ya uso wako kabla ya kunawa mikono.
Njia kubwa ya maambukizi ya hivi virusi ni kupitia macho, pua na mdomo.
Vile vile jaribu kutotumia simu yako kabla ya kukosha mikono, simu ni moja ya njia inayosambaza virus na bacteria. Kama mikononi mwako umeshika vidudu vya maradhi unavipeleka katika simu haIafu simu unapeleka usoni.
Pia hakikisha unakosha nguo zako na kuoga haraka unaporudi nyumbani kabla ya kugusana na mwanafamilia yako.
 
Back
Top Bottom