BoT: Pesa ya Tanzania haiwezi kusambaza Virusi vya Corona. Zimetengenezwa kwa namna ambayo zinaweza kuzuia vimelea kusalia kwenye noti

BoT: Pesa ya Tanzania haiwezi kusambaza Virusi vya Corona. Zimetengenezwa kwa namna ambayo zinaweza kuzuia vimelea kusalia kwenye noti

Watu wengi hawajasoma taarifa yote.

Beggars can't be choosers
 
Mkuu barua inasema simply tu "noti zetu zimetengenezwa kwa namna ambayo zinaweza kuzuia vimelea kusalia kwenye noti " ambayo ni moja ya basic specification ya utengenezwaji wa noti. Hamna sehemu barua imesema pesa ya Tanzania haiwezi kusambaza Corona. Tafsiri yako sio sahihi mkuu
Ya kwako pia sio sahihi.

Hiyo "specification" unayoandika hapa, corona walimpata wapi na wakamtumia kufanyia hizo 'specifications'?

Ni 'claim' ya kipuuzi kabisa isiyostahiri kutangazwa kwenye jambo kama hili.
 
Ushauri ni ule ule, kama upo kwenye shughuli zinazokufanya ushike cash mara kwa mara kuwa mwangalifu na kushika uso. Msisitizo ni kunawa mikono na sabuni na kuwa hata na kichupa kidogo cha sanitizer kila ukitoka home.
Mimi hizi taarifa za BOT, hapana kwa kweli, wanisamehe tu bure. Siwaamini na elementary biology yangu.
 
Kenya fedha yao ikiwekwa benki.
Itasalia benki kwa wiki moja ili kupambana kupunguza kusambaza coronavirus.
BOT wanaongea nini.?karibu Kila kitu kinatuza virus kwa muda tofauti tofauti na inachangia kusambaza corona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ni UPUUZI
Hivi hii serikali hawaoni ulimwengu unasema nini unafanya nini!
Pesa chache sana duniani ambazo hazihifadhi uchafu nazo zipo chache sanaaa Dunia ya Kwanza
BOT mmegeuka kituko. Hizo pesa za kukunja kama tissue ndio hazihifadhi vijidudu
Hebu kuweni serious na maisha ya WaTz!
Wizara ya Afya waongo BOT Waongo bashite muongo what's NEXT

Mungu tu atuepushe tuna watawala wapumbavu sana
 
Moja kwa moja, hili lingetoa machapisho (papers) kadhaa kwa wenye taaluma katika eneo hilo.

Ni fursa ya kipekee kwa watafiti; kwa sababu hao hao Benki Kuu ndio wangeombwa fedha za kuendeshea utafiti huo.

Haitoshi kabisa kwa Benki Kuu kudai tu kuwa noti zao hazishiki vimelea.

Inatakiwa uthibitisho wa hilo kwa kufanya utafiti juu yake.

Coronavirus ni 'novel' (mpya), walijuaje kwamba noti zao haziwezi kumkamata. Kama hazikamati wengine, haina maana na yeye hakamatiki.

Hata hivyo wamefanya vizuri kutahadharisha zaidi juu ya jambo hilo.
Wote wauaji
 
wanaepusha mdororo wa uchumi kwa kui disvalue currency wanaogopa thamani ikishuka uchumi unaporomoka watu wataachana na matumizi ya note
 
Back
Top Bottom