GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 6,260
- 14,470
Watu wengi hawajasoma taarifa yote.
Beggars can't be choosers
Beggars can't be choosers
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
March 18, 2020View attachment 1392836
Benki Kuu ya Tanzania imesema noti za Tanzania zimetengenezwa kwa namna ambayo haziwezi kuhifadhi virusi.
Ya kwako pia sio sahihi.Mkuu barua inasema simply tu "noti zetu zimetengenezwa kwa namna ambayo zinaweza kuzuia vimelea kusalia kwenye noti " ambayo ni moja ya basic specification ya utengenezwaji wa noti. Hamna sehemu barua imesema pesa ya Tanzania haiwezi kusambaza Corona. Tafsiri yako sio sahihi mkuu
Kusaga ni kosa, watupe ishirini ishirini kumi kushoto kumi kulia.Au wazisage hizo noti kutengenezea dawa za kinga
Wanacho kitengo cha mkemia mkuu wa BOT.BOT imeanza kuzungumzia masuala ya kemikali za kuulia Virusi vya Corona
Sent using Jamii Forums mobile app
siasa kwenye afya za watu,days will talkView attachment 1392836
Benki Kuu ya Tanzania imesema noti za Tanzania zimetengenezwa kwa namna ambayo haziwezi kuhifadhi virusi.
Wote wauajiMoja kwa moja, hili lingetoa machapisho (papers) kadhaa kwa wenye taaluma katika eneo hilo.
Ni fursa ya kipekee kwa watafiti; kwa sababu hao hao Benki Kuu ndio wangeombwa fedha za kuendeshea utafiti huo.
Haitoshi kabisa kwa Benki Kuu kudai tu kuwa noti zao hazishiki vimelea.
Inatakiwa uthibitisho wa hilo kwa kufanya utafiti juu yake.
Coronavirus ni 'novel' (mpya), walijuaje kwamba noti zao haziwezi kumkamata. Kama hazikamati wengine, haina maana na yeye hakamatiki.
Hata hivyo wamefanya vizuri kutahadharisha zaidi juu ya jambo hilo.