DOKEZO BoT, TCRA na TRA hivi hizi Taasisi za Mikopo ya Online zipo Kisheria na zinalipa kodi?

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Haiwacost chochote mkuu kuhifadhi address book za wateja wao. Niamini
 
Bado hujawataja hawa watu wa SONGESHA wa mtandao wa Vodacom. Hawa nao riba yao iangaliwe na mamlaka husika kuna wizi mkubwa ndani yake

Watu wanaweza kuhoji "kwani mnalazimishwa?" Lakini haiwezi kuwa hoja kwasababu mamlaka zilizowekwa zinao wajibu wa kuwalinda wananchi dhidi ya utapeli
 
najaribu kujiunga hapa nione kama nitapata yaView attachment 2822506
Mnaona mnavyofanya? Mnawapa na picha za vitambulisho vyenu. Vikiumana mnajiuliza wametoa wapi picha zenu. Si ajabu hapo hicho kitambulisho kina namba ya kituo chako cha kupigia kura wakifika mitaa hiyo kukuulizia wanaelekezwa kwako. Si ajabu wakawa wana access ya gps location yako.
 
Ukweli kabisa HIZI taasisi Zina kero mno hata ukilipa Bado wanaendelea kukutumia text ya kuwa hujawalipa ndo mana mi sijawalipa mpaka Leo
 
Walinipa 55k baada ya siku 8 wanataka niwalipe 78k....na hapo siku ya sita ndio walianza vurugu za kunipigia simu zao za mikwara mbuzi.

Imagine from 55k to 78k in 8 days.

Nilifuta app yao na kublock namba zao zote.
Ni app gani hii namimi niwakope
 
 
Asante sana mkuu. Achana niiscreenshot hii comment nitaifanyia kazi kesho.
Leo nimefanya test nimekutana na hili.
Nikapewa 7800.
Narudisha 12436(within a week)
Naomba mwenye tafsiri ya kifedha na kisheria atoe observation hasa riba vs sheria zetu.
 
Wanaoumia ni masikini na vijana. Nafikiria tu kabla ya kudownload app yao futa message zako zote, futa namba zote ulizowahi kupiga na kupokea simu, futa recycle bin.

Ingia kwenye App jaza taarifa mkopo ukiingia unaiondoa hiyo App, kisha unaweka App ingine ...fanya hivyo kwa Apps zote kama 10+ ukipata 300k+ kajipongeze kuibia wezi.

Unasajili line mpya kwa ajili ya zoezi hilo la kuwaibia hao wezi, ukimaliza unaachana na hiyo line mpya maisha yanasonga. Hii ndio Tanzania [emoji1241] na sisi ndio walipa kodi
 


Hii ipo sawa bhajameni au ni defamation yan imepita siku moja tu

HABARI NDUGU AMA JAMAA WAKARIBU WA XXXXX XXXXXX. MWENYE NO;0000000. NI TAPELI AMEKOPA KIASI CHA SHILLINGI 160,000/= KUTOKA KAMPUNI YA PESA M LOAN NA ANATAKA KUTUTAPELI, UKIWA KAMA MTU WAKE WA KARIBU TUNAOMBA UMUAMBIE ALIPE DENI LAKE KABLA HATUJAANZA KUCHUKUA HATUA NYINGINE JUU YAKE.
 
Tapeli wewe, hahahaa
 

Unawajibu tu chukueni hatua.🤣🤣🤣
 

akiba? mtego huo...
huwezi kupewq mkopo zaidi ya akiba yako.. chemsha bongo kabla hujapagawa
Nmeanza kupewa mkopo kabla sijajua hata issue ya akiba,

Nahisi wanao utaratibu wao tofauti na issue ya akiba
 
😅😅
 
BOT ndio ishu yao hii nashangaa wapo busy kututumia meseji tusikope kwenye taasisi zisizo na leseni wakati wahuni wanaonekana Mtandaoni na wao wapo kimya..
 
Ikitokea kampuni imezingua, mteja ana haki ya kudai pesa yake kupitia office za vodashop? Ikiwa aliweka akiba ktk kampuni hizo?
 
Masela walikua wakinpigia baada ya kutumiwa ujumbe huu nliwaambia tukana hao matapeli, saiz sisikii hizo kelele
 
YAH: MALALAMIKO JUU YA TAASISI ZA MIKOPO MTANDAONI
Kama mnavyojua changamoto zipo kwa Kila mtu hasa upatikanaji wa fedha pale unapokuwa umepata shida ya ghafla yenye uhitaji wa pesa au changamoto kwenye Biashara...
Our CFO already published a research article referencing these Spy Loan Apps. You can read more from here:

https://www.researchgate.net/public...Tanzania_and_is_exploiting_Tanzanian_Citizens
and

View: https://medium.com/@brotheralameen/malware-research-shows-that-spyloan-apps-have-entered-tanzania-and-is-exploiting-tanzanian-76ae9d2bb23f

In this research, we see the approach of Spy Loan Malware Apps in Tanzania, fake financial apps used by loan shark scammers who provide high interest rates by laundering money from victims. The threat actors (In this case, the scammers) then use the data to harass their victims who refuse to pay their money by means of extortion and blackmail, while the rest of their data remains in the cloud in China.

Thus, a proof of cyber-espionage happening in Tanzania by the Chinese and the apps being a National Security Threat posed by the Chinese. The article explains what to do by Law if you've fallen victim for this scam as well.

These threat actors use the app to obtain access to your devices contacts and the rest of your device, including your WhatsApp, Gmail and everything (They have full access and control of your device) and send this data to their servers as well. Thus, identifying the app as a malware.

They use your data to contact people in your phone book to harass and intimidate them to contact you to repay their money as well. Furthermore, they can use them to threaten you and cause conflicts. This security research (Since of course, our CFO is both our CFO and Forensic Analyst) shows detailed explanation of how all this happens and how the app does this.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…