The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
- Thread starter
- #41
Kama ni uongo utajua wewe ila tunakupa data zaidi 👇Huo ni uongo bana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ni uongo utajua wewe ila tunakupa data zaidi 👇Huo ni uongo bana
Umepika takwimu wacha utapeli😂😂😂NBS hawajatoa!Rais atatangaza data za Uchumi aunza idadi ya watu? Acha ujinga.
Yaani na uchumi wa Dunia ulivyo mtuambie 5.4 huo ni uongoKama ni uongo utajua wewe ila tunakupa data zaidi 👇
Kwa ivyo uchumi unaweza kuwa wakati upo kwenye contraction? Dah.Recession ni growth below zero au negative growth na contraction ni increase at decreasing rate.
Mkuu Sunk wala usi- personalise mambo, lengo ni wananchi wote tufaidike.Hivi aliyewadanganga kwamba inflation manake Hali ya uchumi itakuwa mbaya ni nani?
Turkey ina inflation 70% na Uchumi unakua kwa 9% ,unaweza niambai kwa Nini?
Inflation ni mbaya kwenye Nchi ambazo zimeendelea Sana kwamba Ili u employ new resources unatakiwa kubadili teknolojia ila sio kwenye Nchi zetu hizi zinazoendelea ambazo zina idele resources nyingi..
Kwenye Nchi zetu hizi tunahitaji inflation isiyozodi 10% Ili kukuza Uchumi..
Nakupa mfano mdogo hivi mkulima anayeuza mkungu 40,000 kutoka 3,000 ameongeza mapato/purchasing power au amepunguza?
Nawasalimu kwa jina la JMT,
Kwa mujibu wa Gavana wa BOT Prof. Luaga, uhumi wa Tanzania umekuwa kwa asilimia 5.4% kwa robo ya kwanza ya mwaka 2022 kinyume na malengo ya matarajio yaliwekwa ya ukuaji wa asilimia 4.7%.
Moja ya sekta zilizochangia ukuaji mkubwa ni kuimarika kwa sekta ya utalii.
Kwa mwendo huu "The future is bright na nchi iko kwenye right track", in Jiwe's voice.
Kongole nyingi sana kwa Rais Samia na Waziri wa Fedha Comrede Mwigulu.👇View attachment 2367489View attachment 2367490
Ndio kwani umeambiwa uchumi wa Dunia utashuka au umeshuka.?Yaani na uchumi wa Dunia ulivyo mtuambie 5.4 huo ni uongo
Unaagua au?Uchumi unaokua kwenye makaratasi zaidi, akiingia rais mwingine sasa hivi usishangae akisema uchumi unakua kwa 3%. Hizi figure zenye mitazamo ya kusaka political millage ni shida.
Unaagua au?
Kwa kigezo cha ajira,hakuna wakati ambao Kuna ajira nyingi kama awamu hii kuanzia Serikalini hadi private sector na Wala hakuna zinakofungwa bali zinafunguka..Mkuu Sunk wala usi- personalise mambo, lengo ni wananchi wote tufaidike.
Uchumi una principle zake. Na hauhitaji blah blah.
Mfano, Unawezaje kusema uchumi unakua kwa 6% wakati ajira zinafungwa kila kukicha, makampuni makubwa yanafunga biashara, wananchi wanapunguza matumizi kwa sababu ya ughali wa maisha, makusanyo ya serikali yanapungua, uzalishaji wa viwandani unapungua? Utawezaje kusema confidently uchumi unakua mbele ya mtu timamu?
Kwenye uchumi kuna kitu kinaitwa PROXY indicators, hii hutumika sana hasa wakati ambao kupata data kamili ya kitu fulani unakuwa mgumu.
●Mfano Mimi naweza nisijue exactly kama kipato na hali bora ya maisha ya Extrovert yamebadilika, ila nachoweza kufanya ni kutumia proxy ways kwa kuangalia-
-Zamani alikuwa anaendesha bito leo anaendesha Range.
-Au alikuwa analala kwenye chumba kimoja leo yupo kwenye mansion nk.
*Je, unafikiri ukubwa wa inflation unafanya watu watumia zaidi?
Hivi unajielewa kweli wewe? Unaelewa mada? Sensa inaingiaje hapa? Huijui tovuti ya NBS au?Umetoa wapi izo takwimu ndo sensa ya juzi maaana wamepiga mpaka June hujielewi wamefanya tasmini ya nyuma kuanzia hapo ,sasa leta za 2020 ndo uone ilo gap ndani wa mwaka mmoja.
Sibishani na mshamba!!
Huna haki ya kucheka[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna hoja ulileta hapa kama sijakosea this week kuhusiana na kukosoa baadhi ya tozo, ambayo kibinafsi nilikubaliana nayo kimsingi.Kwa kigezo cha ajira,hakuna wakati ambao Kuna ajira nyingi kama awamu hii kuanzia Serikalini hadi private sector na Wala hakuna zinakofungwa bali zinafunguka..
Hayo uliyoongea ni sawa na Wala usiangalie upande mmja tuu bali angalia kwa broader way..Mikopo Kwa sekta binafsi imekua,mabenki yamepata faida,ujenzi unaenda, serikali inapata pesa na inawekeza kwenye huduma na miradi mipya,Mauzo yanakua nk nk sasa kwa nini uchumi usikue ikiwemo wa mtu mmja mmja?
Mwisho Kwa case ya inflation ni kwamba ina pande mbili huwa inachochea production kama Bei ni nzuri na kama watu wanakuwa na uwezo wa kununua ila kama hawana hiyo inflation ndio inakuwa shida Kwa kupunguza disposable income..
But Kwa Nchi kama zetu hizi ambazo zina sehemu kubwa ya informal sector inflation ni kigezo kidogo Sana.
Siku tukipata data kamili na halali za ajira, tuhama nchiHuu mjadala utakuwa mzuri ikiwa tutapata baadhi ya ripoti za indicators kama-
- Taarifa za ajira.
- Taarifa za makusanyo.
- Ukuaji wa Biashara.
- Taarifa za uzalishaji.
- FDI nk.
Akili yako hapo halmashauri usijifananishe n Mimi ambaye sifanyi kazi na waswahili Bora ukatuliza kibupa !! Usirudie Tena kale maparachichiI rest my case arging with kilaza 👇
Yaani utoe hela kwenye mikono ya watu kupitia tozo, hela ambazo wangetumia kununulia bidhaa = reduction in purchasing power.
High inflation duniani kutokana na bei ya nishati na chakula = reduction in purchasing power
Variable zote hizo duniani zinakwambia kutakuwa na contraction ya uchumi.
Uchumi ni science events zilizopo zinabashiri hali ya uchumi. Ndio maana sidhani kama kuna nchi ina project growth zaidi ya zile ambazo serikali ina vyanzo vya nishati.
Mambo mengine ndio maana duniani tunaonekana watu wa ovyo; ata ukiangalia news za kimataifa wakizungumzia masoko ya hisa africa na E.A unaweza sikia shares za masoko ya Uganda na Kenya; lakini kamwe Tanzania is not mentioned ni kwamba kuna data za ovyo na kuna kampuni DSE zinasajiliwa bila ya vigezo sahihi mfano ‘Swala Oil’ ilikuwa aina vigezo kabisa vya kusajiliwa popote duniani zaidi ya Tanzania.
Mambo kama haya yanafanya dunia ituone watu wa ovyo. Njia pekee serikali inaweza ongopa uchumi kukua ni kupitia government investments maana bi Tozo katupa mihela kweli TAMISEMI, kilimo na nishati (be it nyingi zimeenda mifukoni mwa watu).
Vinginevyo bila ya government expenditure kama main variable hakuna mtu timamu atasikiliza hizo hadithi zaidi ya kuonyesha kiwango cha wapuuzi tuliowapa nafasi za juu kama hawajui ata muda wa kuongopa.
Kwani wahaya siku hizi wanakula ugali mbona huwa wanasema ugali hawaufahamu. Wanadai wanakulaga wali, ndizi na asali tu.Bukoba kilo ya sembe 2500/=
Mkungu wa ndizi 50,000