BOT: Uchumi wa Tanzania umekua kwa asilimia 5.4%. Hongera Rais Samia, hongera Comrade Mwigulu

Attachments

  • Screenshot_20220925-125217.png
    42.2 KB · Views: 8
  • Screenshot_20220925-122506.png
    243.9 KB · Views: 8
  • Screenshot_20220925-124404.png
    32.2 KB · Views: 8
  • Screenshot_20220925-124436.png
    108.9 KB · Views: 7
  • Screenshot_20220925-124554.png
    61.4 KB · Views: 8
Recession ni growth below zero au negative growth na contraction ni increase at decreasing rate.
Kwa ivyo uchumi unaweza kuwa wakati upo kwenye contraction? Dah.

Ngoja nikusaidie ‘contraction’ ni kushuka kwa uchumi ndani ya muda mfupi. Hali hiyo ikiendelea kwa muda mrefu ndio wanaita recession.

Hakikisha unau ufahamu wa vitu unavyojadili hiyo ni elementary economics tu.
 
Mkuu Sunk wala usi- personalise mambo, lengo ni wananchi wote tufaidike.

Uchumi una principle zake. Na hauhitaji blah blah.

Mfano, Unawezaje kusema uchumi unakua kwa 6% wakati ajira zinafungwa kila kukicha, makampuni makubwa yanafunga biashara, wananchi wanapunguza matumizi kwa sababu ya ughali wa maisha, makusanyo ya serikali yanapungua, uzalishaji wa viwandani unapungua? Utawezaje kusema confidently uchumi unakua mbele ya mtu timamu?

Kwenye uchumi kuna kitu kinaitwa PROXY indicators, hii hutumika sana hasa wakati ambao kupata data kamili ya kitu fulani unakuwa mgumu.
●Mfano Mimi naweza nisijue exactly kama kipato na hali bora ya maisha ya Extrovert yamebadilika, ila nachoweza kufanya ni kutumia proxy ways kwa kuangalia-
-Zamani alikuwa anaendesha bito leo anaendesha Range.
-Au alikuwa analala kwenye chumba kimoja leo yupo kwenye mansion nk.

*Je, unafikiri ukubwa wa inflation unafanya watu watumia zaidi?
 

Uchumi unaokua kwenye makaratasi zaidi, akiingia rais mwingine sasa hivi usishangae akisema uchumi unakua kwa 3%. Hizi figure zenye mitazamo ya kusaka political millage ni shida.
 
Kwa kigezo cha ajira,hakuna wakati ambao Kuna ajira nyingi kama awamu hii kuanzia Serikalini hadi private sector na Wala hakuna zinakofungwa bali zinafunguka..

Hayo uliyoongea ni sawa na Wala usiangalie upande mmja tuu bali angalia kwa broader way..Mikopo Kwa sekta binafsi imekua,mabenki yamepata faida,ujenzi unaenda, serikali inapata pesa na inawekeza kwenye huduma na miradi mipya,Mauzo yanakua nk nk sasa kwa nini uchumi usikue ikiwemo wa mtu mmja mmja?

Mwisho Kwa case ya inflation ni kwamba ina pande mbili huwa inachochea production kama Bei ni nzuri na kama watu wanakuwa na uwezo wa kununua ila kama hawana hiyo inflation ndio inakuwa shida Kwa kupunguza disposable income..

But Kwa Nchi kama zetu hizi ambazo zina sehemu kubwa ya informal sector inflation ni kigezo kidogo Sana.
 
Umetoa wapi izo takwimu ndo sensa ya juzi maaana wamepiga mpaka June hujielewi wamefanya tasmini ya nyuma kuanzia hapo ,sasa leta za 2020 ndo uone ilo gap ndani wa mwaka mmoja.

Sibishani na mshamba!!
Hivi unajielewa kweli wewe? Unaelewa mada? Sensa inaingiaje hapa? Huijui tovuti ya NBS au?

Seems Ntakuwa na argue na mpumbavu
 
Kuna hoja ulileta hapa kama sijakosea this week kuhusiana na kukosoa baadhi ya tozo, ambayo kibinafsi nilikubaliana nayo kimsingi.

Mengi yanapaswa kufanyika hasa ukizingatia watanzania wengi ni maskini, na kwendana na hoja yako ni kwamba
-Kuziacha baadhi ya tozo zinazoumiza maskini na kuwaondolea matajiri si sawa- Hii ilikuwa ni hoja yako bora kwa sababu kwa maono yangu, kumwachia mzigo mkubwa wa tozo mwanachi maskini ni kumpelekea zaidi kwenye kudumaa kiuchumi- na hii ndo hoja ambayo wengine wanaisisitiza hapa in other ways.
 
Huu mjadala utakuwa mzuri ikiwa tutapata baadhi ya ripoti za indicators kama-

  • Taarifa za ajira.
  • Taarifa za makusanyo.
  • Ukuaji wa Biashara.
  • Taarifa za uzalishaji.
  • FDI nk.
Siku tukipata data kamili na halali za ajira, tuhama nchi
 
Yaani bilioni 10 za nyonyo nituwe zimeongeza watalii laki mbili tu tuassume hao sio wale ambao wameamua kuja baada ya kupungua kwa athari za covid.
 

Genius
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…