Mama Pasco
JF-Expert Member
- Nov 3, 2021
- 453
- 446
Uchumi uliokuwa kwenye mifuko ya viongozi na chawa waoNawasalimu kwa jina la JMT,
Kwa mujibu wa Gavana wa BOT Prof. Luaga, uhumi wa Tanzania umekuwa kwa asilimia 5.4% kwa robo ya kwanza ya mwaka 2022 kinyume na malengo ya matarajio yaliwekwa ya ukuaji wa asilimia 4.7%.
Moja ya sekta zilizochangia ukuaji mkubwa ni kuimarika kwa sekta ya utalii.
Kwa mwendo huu "The future is bright na nchi iko kwenye right track", in Jiwe's voice.
Kongole nyingi sana kwa Rais Samia na Waziri wa Fedha Comrede Mwigulu.👇View attachment 2367489View attachment 2367490
Swala Oil na JATU Plc kweli Tanzania inatia aibuYaani utoe hela kwenye mikono ya watu kupitia tozo, hela ambazo wangetumia kununulia bidhaa = reduction in purchasing power.
High inflation duniani kutokana na bei ya nishati na chakula = reduction in purchasing power
Variable zote hizo duniani zinakwambia kutakuwa na contraction ya uchumi.
Uchumi ni science events zilizopo zinabashiri hali ya uchumi. Ndio maana sidhani kama kuna nchi ina project growth zaidi ya zile ambazo serikali ina vyanzo vya nishati.
Mambo mengine ndio maana duniani tunaonekana watu wa ovyo; ata ukiangalia news za kimataifa wakizungumzia masoko ya hisa africa na E.A unaweza sikia shares za masoko ya Uganda na Kenya; lakini kamwe Tanzania is not mentioned ni kwamba kuna data za ovyo na kuna kampuni DSE zinasajiliwa bila ya vigezo sahihi mfano ‘Swala Oil’ ilikuwa aina vigezo kabisa vya kusajiliwa popote duniani zaidi ya Tanzania.
Mambo kama haya yanafanya dunia ituone watu wa ovyo. Njia pekee serikali inaweza ongopa uchumi kukua ni kupitia government investments maana bi Tozo katupa mihela kweli TAMISEMI, kilimo na nishati (be it nyingi zimeenda mifukoni mwa watu).
Vinginevyo bila ya government expenditure kama main variable hakuna mtu timamu atasikiliza hizo hadithi zaidi ya kuonyesha kiwango cha wapuuzi tuliowapa nafasi za juu kama hawajui ata muda wa kuongopa.
Kwani ni lini majority walikuwa na Hali njema kuzidi awamu hii? Mfano wako ni irrelevant.
Ndio maana ya uchumi kukua sasa kwamba maskini wanazidi kupungua japo kwa Kasi ndogo..
Kwa sababu kiuchumi Ili walau uwapunguze hao maskini Kwa nusu growth inatakiwa kuwa 10% na zaidi kwa miaka isiyopungua 10 mfululizo..
Mwendazake alipokea uchumi tuko kwenye 7% akaharibu badala ya kuongeza growth so tuko kwenye recovery,sasa uchumi unakua mtu Unapinga hizo ni chuki binafsi..
Hali ni mbaya kulinganisha na lini Hali ilikuwa nzuri?Wewe nae umekuwa kama kichaa vile sasa chuki binafsi ndio nini wakati hali ni mbaya? Kwa sababu uchumi umekuwa kwenye makaratasi basi unalazimisha kila mtu aseme ndio? Msijifiche kwenye hoja ya chuki binafsi! Kila mtu analia na la kwake...watu wanasema hali ni mbaya wewe unasema chuki binafsi! Hivi wewe unga na mchele una nunua wapi?
Mwigulu ndio yuko BOT si ndio? Ujinga utakutoka lini?Usiwe mjinga kama Mwigulu, Phd fake
Uchumi ukue huku hali za maisha ya watu wasio wanasiasa wezi inazozidi kuwa mbaya!Mwigulu ndio yuko BOT si ndio? Ujinga utakutoka lini?
Namba ndio zinaongea 👇
Alaa kwa hiyo usafiri umesimama huko mitaani watu hawasafiri kwa sababu Hali ngumu si ndio? 😃😃.Uchumi ukue huku hali za maisha ya watu wasio wanasiasa wezi inazozidi kuwa mbaya!
Kwakuwa wanaona tunaweza kuhimili hizo bei wanabaki kuropoka tuBukoba kilo ya sembe 2500/=
Mkungu wa ndizi 50,000
Jizi mkubwa wewe umepata wapi pesa ya kuagiza mabasi 60 kwa jina la mkeo Esther, subiri arobaini zako zitafika soonAlaa kwa hiyo usafiri umesimama huko mitaani watu hawasafiri kwa sababu Hali ngumu si ndio? 😃😃.
Ujinga ni mzigo mkubwa sana.
VIVA SAMIA VIVANawasalimu kwa jina la JMT,
Kwa mujibu wa Gavana wa BOT Prof. Luaga, uhumi wa Tanzania umekuwa kwa asilimia 5.4% kwa robo ya kwanza ya mwaka 2022 kinyume na malengo ya matarajio yaliwekwa ya ukuaji wa asilimia 4.7%.
Moja ya sekta zilizochangia ukuaji mkubwa ni kuimarika kwa sekta ya utalii.
Kwa mwendo huu "The future is bright na nchi iko kwenye right track", in Jiwe's voice.
Kongole nyingi sana kwa Rais Samia na Waziri wa Fedha Comrede Mwigulu.👇View attachment 2367489View attachment 2367490
Nimepata kwa Babu yako..njoo uwe kondaJizi mkubwa wewe umepata wapi pesa ya kuagiza mabasi 60 kwa jina la mkeo Esther, subiri arobaini zako zitafika soon
Acha tu, kasheshe ukiwasikiliza wataalamu sijui wachambuzi wa ovyo wanaoenda kuongea kwenye TV.Uchumi uliokuwa kwenye mifuko ya viongozi na chawa wao
Rais Samia na Mwigulu ni Masters wa Uchumi 👇Walamba asali wanatetea viti vyao.
Pole Sana mkuu , Takwimu zinaongea zaidi kuliko mdomo wako 👇Hizi taarifa zimekaa "ki-ccm" mno ndio maana zimejaa mashaka na maswali mengi kama kawaida ya taarifa zao!
Chuki haziwezi kubadili huu ukweli hapa 👇Acha tu, kasheshe ukiwasikiliza wataalamu sijui wachambuzi wa ovyo wanaoenda kuongea kwenye TV.
Binafsi zaidi ya wakurugenzi wa wizara sisikilizi tena upuuzi wa watu wengine wowote.