BOT: Uchumi wa Tanzania umekua kwa asilimia 5.4%. Hongera Rais Samia, hongera Comrade Mwigulu

BOT: Uchumi wa Tanzania umekua kwa asilimia 5.4%. Hongera Rais Samia, hongera Comrade Mwigulu

Nawasalimu kwa jina la JMT,

Kwa mujibu wa Gavana wa BOT Prof. Luaga, uhumi wa Tanzania umekuwa kwa asilimia 5.4% kwa robo ya kwanza ya mwaka 2022 kinyume na malengo ya matarajio yaliwekwa ya ukuaji wa asilimia 4.7%.

Moja ya sekta zilizochangia ukuaji mkubwa ni kuimarika kwa sekta ya utalii.

Kwa mwendo huu "The future is bright na nchi iko kwenye right track", in Jiwe's voice.

Kongole nyingi sana kwa Rais Samia na Waziri wa Fedha Comrede Mwigulu.👇View attachment 2367489View attachment 2367490
Uchumi uliokuwa kwenye mifuko ya viongozi na chawa wao
 
Yaani utoe hela kwenye mikono ya watu kupitia tozo, hela ambazo wangetumia kununulia bidhaa = reduction in purchasing power.

High inflation duniani kutokana na bei ya nishati na chakula = reduction in purchasing power

Variable zote hizo duniani zinakwambia kutakuwa na contraction ya uchumi.

Uchumi ni science events zilizopo zinabashiri hali ya uchumi. Ndio maana sidhani kama kuna nchi ina project growth zaidi ya zile ambazo serikali ina vyanzo vya nishati.

Mambo mengine ndio maana duniani tunaonekana watu wa ovyo; ata ukiangalia news za kimataifa wakizungumzia masoko ya hisa africa na E.A unaweza sikia shares za masoko ya Uganda na Kenya; lakini kamwe Tanzania is not mentioned ni kwamba kuna data za ovyo na kuna kampuni DSE zinasajiliwa bila ya vigezo sahihi mfano ‘Swala Oil’ ilikuwa aina vigezo kabisa vya kusajiliwa popote duniani zaidi ya Tanzania.

Mambo kama haya yanafanya dunia ituone watu wa ovyo. Njia pekee serikali inaweza ongopa uchumi kukua ni kupitia government investments maana bi Tozo katupa mihela kweli TAMISEMI, kilimo na nishati (be it nyingi zimeenda mifukoni mwa watu).

Vinginevyo bila ya government expenditure kama main variable hakuna mtu timamu atasikiliza hizo hadithi zaidi ya kuonyesha kiwango cha wapuuzi tuliowapa nafasi za juu kama hawajui ata muda wa kuongopa.
Swala Oil na JATU Plc kweli Tanzania inatia aibu
 
Kwani ni lini majority walikuwa na Hali njema kuzidi awamu hii? Mfano wako ni irrelevant.

Ndio maana ya uchumi kukua sasa kwamba maskini wanazidi kupungua japo kwa Kasi ndogo..

Kwa sababu kiuchumi Ili walau uwapunguze hao maskini Kwa nusu growth inatakiwa kuwa 10% na zaidi kwa miaka isiyopungua 10 mfululizo..

Mwendazake alipokea uchumi tuko kwenye 7% akaharibu badala ya kuongeza growth so tuko kwenye recovery,sasa uchumi unakua mtu Unapinga hizo ni chuki binafsi..

Wewe nae umekuwa kama kichaa vile sasa chuki binafsi ndio nini wakati hali ni mbaya? Kwa sababu uchumi umekuwa kwenye makaratasi basi unalazimisha kila mtu aseme ndio? Msijifiche kwenye hoja ya chuki binafsi! Kila mtu analia na la kwake...watu wanasema hali ni mbaya wewe unasema chuki binafsi! Hivi wewe unga na mchele una nunua wapi?
 
Hali ni mbaya kulinganisha na lini Hali ilikuwa nzuri?

Kwani Hali kuwa ndio kunafanga uchumi usikue? Kwani hujui kwamba hali ilianza kuwa mbaya zaidi Jiwe alivyoingia na kufuatiwa na uviko na vita ya Ukraine?

Uchumi uko kwenye recovery stage shida yako ni ipi?👇
 
Attachments

  • Screenshot_20221010-183511.png
    Screenshot_20221010-183511.png
    92.2 KB · Views: 4
  • Screenshot_20221008-151031.png
    Screenshot_20221008-151031.png
    105.2 KB · Views: 4
Uchumi ukue huku hali za maisha ya watu wasio wanasiasa wezi inazozidi kuwa mbaya!
Alaa kwa hiyo usafiri umesimama huko mitaani watu hawasafiri kwa sababu Hali ngumu si ndio? 😃😃.

Ujinga ni mzigo mkubwa sana.
 
Alaa kwa hiyo usafiri umesimama huko mitaani watu hawasafiri kwa sababu Hali ngumu si ndio? 😃😃.

Ujinga ni mzigo mkubwa sana.
Jizi mkubwa wewe umepata wapi pesa ya kuagiza mabasi 60 kwa jina la mkeo Esther, subiri arobaini zako zitafika soon
 
Nawasalimu kwa jina la JMT,

Kwa mujibu wa Gavana wa BOT Prof. Luaga, uhumi wa Tanzania umekuwa kwa asilimia 5.4% kwa robo ya kwanza ya mwaka 2022 kinyume na malengo ya matarajio yaliwekwa ya ukuaji wa asilimia 4.7%.

Moja ya sekta zilizochangia ukuaji mkubwa ni kuimarika kwa sekta ya utalii.

Kwa mwendo huu "The future is bright na nchi iko kwenye right track", in Jiwe's voice.

Kongole nyingi sana kwa Rais Samia na Waziri wa Fedha Comrede Mwigulu.👇View attachment 2367489View attachment 2367490
VIVA SAMIA VIVA
 
Uchumi uliokuwa kwenye mifuko ya viongozi na chawa wao
Acha tu, kasheshe ukiwasikiliza wataalamu sijui wachambuzi wa ovyo wanaoenda kuongea kwenye TV.

Binafsi zaidi ya wakurugenzi wa wizara sisikilizi tena upuuzi wa watu wengine wowote.
 
Hizi taarifa zimekaa "ki-ccm" mno ndio maana zimejaa mashaka na maswali mengi kama kawaida ya taarifa zao!
 
Hizi taarifa zimekaa "ki-ccm" mno ndio maana zimejaa mashaka na maswali mengi kama kawaida ya taarifa zao!
Pole Sana mkuu , Takwimu zinaongea zaidi kuliko mdomo wako 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20221010-182757.png
    Screenshot_20221010-182757.png
    118.6 KB · Views: 4
  • Screenshot_20221010-182927.png
    Screenshot_20221010-182927.png
    134.5 KB · Views: 4
  • Screenshot_20221010-182749.png
    Screenshot_20221010-182749.png
    97 KB · Views: 4
  • Screenshot_20221010-182847.png
    Screenshot_20221010-182847.png
    45.1 KB · Views: 5
  • Screenshot_20221010-182941.png
    Screenshot_20221010-182941.png
    35.9 KB · Views: 5
Acha tu, kasheshe ukiwasikiliza wataalamu sijui wachambuzi wa ovyo wanaoenda kuongea kwenye TV.

Binafsi zaidi ya wakurugenzi wa wizara sisikilizi tena upuuzi wa watu wengine wowote.
Chuki haziwezi kubadili huu ukweli hapa 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20221010-183036.png
    Screenshot_20221010-183036.png
    93.6 KB · Views: 5
  • Screenshot_20221010-183544.png
    Screenshot_20221010-183544.png
    114.2 KB · Views: 4
Kwenye masuala ya Uchumi na biashara Rais Samia hajawahi ni disappoint👇
 
Attachments

  • Screenshot_20221010-183036.png
    Screenshot_20221010-183036.png
    93.6 KB · Views: 4
  • Screenshot_20221005-195913.png
    Screenshot_20221005-195913.png
    138.7 KB · Views: 3
Back
Top Bottom