The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
- Thread starter
-
- #141
Tutajie waliofaulu Ili tujilinganishe nao..Kwanini tujilinganishe na waliochoka. Uzuri wa hali haulinganishwi na wenye hali mbaya zaidi inabidi tujicompare na wenye hali nzuri.
Wananchi hatulalamiki kwa kujiringanisha na hao tunalalamika kwa kulinganisha wakati uliopita na sasa na kuangalia ambao wana nafuu.Tutajie waliofaulu Ili tujilinganishe nao..
Maana kama ni Hawa hapa Chini huko kwao Hali ni mbaya zaidi mfumuko wa bei ni double digit ndio maana hawaishi kuandamana hovyo π
Wakati uliopita sio wakati wa Leo,wakati uliopita kulikuwa na maskini wengi kuliko Sasa maana mazo yote ya wakulima yalikuwa yameanguka Bei..Wananchi hatulalamiki kwa kujiringanisha na hao tunalalamika kwa kulinganisha wakati uliopita na sasa na kuangalia ambao wana nafuu.
Haya mambo ya kujificha kwenye chaka la kutuletea waliofeli naona yamekuwa ndo njia ya utetezi nchi hii kwenye kila kitu
Mnajitekenya na kucheka wenyeweππππππ.
Mkuu Kazi nzuri inazidi kufanyika π
Kwani unadhani mimi naishi Burundi?Soma hiyoo π
Hata ungeishi Ulongoni B ila ukweli ni kwamba there is much appreciation of our strong economy from trusted World Institutions πKwani unadhani mimi naishi Burundi?
Mtoto acha kupiga mayowe, acha watu waone wenyeeeeee,,,,,Hata ungeishi Ulongoni B ila ukweli ni kwamba there is much appreciation of our strong economy from trusted World Institutions π
Kama huoni tunakuonyesha πMtoto acha kupiga mayowe, acha watu waone wenyeeeeee,,,,,