BoT: Uchumi wa Tanzania Umekuwa Kwa Kasi ya Asilimia 5% Mwaka 2022 Tofauti na Matarajio

Huo uchumi unakulia eneo gani hebu tupeni ufafanuzi maana tunatiana hasira tu kwa sasa.
 
Magufuli aliharibu Nchi kuefahamu uhalali was takwimu ni vigumu sana,B.O.T sio tena taasisi ya kuaminiwa kutokana na taarifa zake.

Taasisi inayoendeshwa na siasa in ngumu sana kuujua ukweli,na mbaya zaidi Mh.SAMIA naye amerithi chembechembe za kujikweza na kupenda sifa kutoka kwa Magufuli.

Ukuaji wa Uchumi lazima uakisi maisha ya watu.
 
Few days ago zipi? Hiyo taarifa ya 7% wewe umeitoa wapi au ni ya mwaka gani?
 
Kuna haja baadhi ya mambo tuache Taaluma ifanye kazi, Saivi viongozi wengi wanatekeleza Majukumu yao kwa lengo la kuwafurahisha Viongozi wa Kisiasa.
 
Magufuli is no more here,taarifa zinazotoka ni sahihi na Zina reflect Serikali inachofanya Serikali.

Wewe shida Yako hasa ni ipi? BoT wapike taarifa Kwa Ajili ya nini hasa?
 
Kuna haja baadhi ya mambo tuache Taaluma ifanye kazi, Saivi viongozi wengi wanatekeleza Majukumu yao kwa lengo la kuwafurahisha Viongozi wa Kisiasa.
Huu uzushi Huwa inawasaidia nini hasa? Kwamba unaweza toa taarifa ya uongo wakati ukijua ni kosa linaweza kukugharimu?

Kwamba unataka BoT iseme uchumi umeshuka ndio utaelewa au?
 
Takwimu za kupikwa muasisi wake mkuu alikua jiwe, naona mnaendelezeleza alipoishia.
 
Kuna wakati tulilishwa kasa na last regime na tukaambiwa iko hivyo. Hofu yangu isijejirudia yaliyopita ili tu kupata political mileage
 
"Wapo watanzania ambao wangependelea kusikia habari mbaya za nchi yao ndio wafurahi"
TUWASHINDE KWA KUWAONYESHA VITENDO, CCM NA VIONGOZI NA KIONGOZI MKUU DR. SAMIAH,KAZI WANAIWEZA NA TAIFA LINAKWENDA MBELE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…