ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
-
- #41
Sio BoT ni wanasiasaTulivyoambiwa tunajenga Reli na Bwawa la Nyerere kwa pesa ndani. Je sio mamlaka halali iliyotoa taarifa hizo? Kama ndio basi tunahaki ya kutokuamini kila kitu
Wewe mchumi tupe taarifa na uchambuzi wako.Bot hakuna wachumi ila kuna wana siasa tu ndio wamewekwa hapo kwa hisani ya nepotism na ndio maana dikteta Magufuli alileta ile sheria ya takwimu ili serikali ifanikishe mradi wake wa upikaji takwimu. Bure kabisa.
Hebu fuatikia taarifa za 2021 zilisemwa nini na mama akaja kusahihisha. Takwimu za 5.9% na 4.6% kwenye GDP ni kitu kikubwa sana.Sio BoT ni wanasiasa
Ni shida sana aisee kuelewa Hawa watu labda kama ni wanasiasa washenzi ."Wapo watanzania ambao wangependelea kusikia habari mbaya za nchi yao ndio wafurahi"
TUWASHINDE KWA KUWAONYESHA VITENDO, CCM NA VIONGOZI NA KIONGOZI MKUU DR. SAMIAH,KAZI WANAIWEZA NA TAIFA LINAKWENDA MBELE.
Acha uzushi na upuuzi wako,hakuna taarifa yeyete ya uchumi iliwahi sema 5.9% au 4.6% Bali last year uchumi ulikuwa Kwa 4.2%Hebu fuatikia taarifa za 2021 zilisemwa nini na mama akaja kusahihisha. Takwimu za 5.9% na 4.6% kwenye GDP ni kitu kikubwa sana.
Sio hayo tu TRA makusanyo ya mwezi.... the list is long lakini tumeshotoka huko I guess.
Mkuu hata kama tunamaswali juu ya taarifa za taasisi hii. Ukweli kuna vichwa sana na vinafanyakazi kwa weledi mkubwa sana.Bot hakuna wachumi ila kuna wana siasa tu ndio wamewekwa hapo kwa hisani ya nepotism na ndio maana dikteta Magufuli alileta ile sheria ya takwimu ili serikali ifanikishe mradi wake wa upikaji takwimu. Bure kabisa.
Kabla 4.2%mwendazake alisemaje. Usijafanye umesahau maana nitakuwekea link hapaAcha uzushi na upuuzi wako,hakuna taarifa yeyete ya uchumi iliwahi sema 5.9% au 4.6% Bali last year uchumi ulikuwa Kwa 4.2%
Hata nikikujibu Bado utapinga Kwa sababu una chuki binafsi..Karibia mnafungua bendi mana sio kwa nyimbo hz.
Uchum ukikua reflection zake unazielewa kweli ?
Kwani tuko awamu ya Mwendazake saizi?Kabla 4.2%mwendazake alisemaje. Usijafanye umesahau maana nitakuwekea link hapa
Porojo nyingi sisi Hatutaki taarifa tunataka uhalisia na ukweli.Hata nikikujibu Bado utapinga Kwa sababu una chuki binafsi..
Kwako wewe unapenda usikie uchumi umeanguka 🤣🤣
Kwani tuko awamu ya Mwendazake saizi?
Shida unataka tuchujue data tu pasipo kuquestion. Mfano nikuulize kwa nini imefanyika review ya hizo data na kuja na revised version.0.3% imetokana na nini hadi kuwe na ongezeko.Hata nikikujibu Bado utapinga Kwa sababu una chuki binafsi..
Kwako wewe unapenda usikie uchumi umeanguka 🤣🤣
Kwani tuko awamu ya Mwendazake saizi?
Unaambiwa Siyo kila neema inapokuja imguse kila mtu. Zam yetu bado🙄🙄🙄🙄...calm down please.Mbona mimi siuoni mifuko myeupe.
Unakua kuelekea wapi?
Sasa unaniuliza Kwa nini usisome sababu?Shida unataka tuchujue data tu pasipo kuquestion. Mfano nikuulize kwa nini imefanyika review ya hizo data na kuja na revised version.0.3% imetokana na nini hadi kuwe na ongezeko.
Unapokuwa umetoa ongezeko au anguko pasipo kusema kilichopeleka +/- unafanya kila mtu ajiulize kulikoni? Na hii ndio wasiwasi wangu na wengine
Kwani hapo zinasimama na.kutetewa na wewe? Unataka kuona nini? Hapo ulipo hakuna unachokiona? Nitajie Mkoa ulipo nikushushue .Porojo nyingi sisi Hatutaki taarifa tunataka uhalisia na ukweli.
Hizo data za kuchomeka na kuchonga zisimame na kujitetea zenyewe
We ndio kichwa maji kweli. Kama shughuli zilifungwa December na reporting time ni January - December na wakati wanatoa report all activities were closed. Zinaongezekaje.... kama kumekuwa na tatizo kubwa hivyo say quarter ya mwisho je mbona hatukuona huko kwenye quarter zingine.Sasa unaniuliza Kwa nini usisome sababu?
Hujawahi weka estimate ukakuta kumbe ume underestimate?
Simple answer ni kwamba shughuli za uzalishaji zimeongezeka zaidi ndio maana Wakareview ku cater for the new activities.
Rudia kusoma ujinga wako harafu uulize tena.We ndio kichwa maji kweli. Kama shughuli zilifungwa December na reporting time ni January - December na wakati wanatoa report all activities were closed. Zinaongezekaje.... kama kumekuwa na tatizo kubwa hivyo say quarter ya mwisho je mbona hatukuona huko kwenye quarter zingine.
Kama na rebase of GDP parameters inafahamika inavyofanyika. Sabau ni zipi. Anyway naweza kuwa najadili na wrong person.
Hiyo uchumi forum mbona ipo kama ya uchochoron mkuu?Sawa
Sawa,una jingine?Hiyo uchumi forum mbona ipo kama ya uchochoron mkuu?