BoT: Uchumi wa Tanzania Umekuwa Kwa Kasi ya Asilimia 5% Mwaka 2022 Tofauti na Matarajio

Bot hakuna wachumi ila kuna wana siasa tu ndio wamewekwa hapo kwa hisani ya nepotism na ndio maana dikteta Magufuli alileta ile sheria ya takwimu ili serikali ifanikishe mradi wake wa upikaji takwimu. Bure kabisa.
 
Wewe mchumi tupe taarifa na uchambuzi wako.
 
Sio BoT ni wanasiasa
Hebu fuatikia taarifa za 2021 zilisemwa nini na mama akaja kusahihisha. Takwimu za 5.9% na 4.6% kwenye GDP ni kitu kikubwa sana.

Sio hayo tu TRA makusanyo ya mwezi.... the list is long lakini tumeshotoka huko I guess.
 
"Wapo watanzania ambao wangependelea kusikia habari mbaya za nchi yao ndio wafurahi"
TUWASHINDE KWA KUWAONYESHA VITENDO, CCM NA VIONGOZI NA KIONGOZI MKUU DR. SAMIAH,KAZI WANAIWEZA NA TAIFA LINAKWENDA MBELE.
Ni shida sana aisee kuelewa Hawa watu labda kama ni wanasiasa washenzi .
 
Hebu fuatikia taarifa za 2021 zilisemwa nini na mama akaja kusahihisha. Takwimu za 5.9% na 4.6% kwenye GDP ni kitu kikubwa sana.

Sio hayo tu TRA makusanyo ya mwezi.... the list is long lakini tumeshotoka huko I guess.
Acha uzushi na upuuzi wako,hakuna taarifa yeyete ya uchumi iliwahi sema 5.9% au 4.6% Bali last year uchumi ulikuwa Kwa 4.2%
 
Bot hakuna wachumi ila kuna wana siasa tu ndio wamewekwa hapo kwa hisani ya nepotism na ndio maana dikteta Magufuli alileta ile sheria ya takwimu ili serikali ifanikishe mradi wake wa upikaji takwimu. Bure kabisa.
Mkuu hata kama tunamaswali juu ya taarifa za taasisi hii. Ukweli kuna vichwa sana na vinafanyakazi kwa weledi mkubwa sana.

Yaliyotokea sio utashi wao bali ya mtoaji wa taarifa na sio lack of proffesionalism
 
Karibia mnafungua bendi mana sio kwa nyimbo hz.
Uchum ukikua reflection zake unazielewa kweli ?
 
Hata nikikujibu Bado utapinga Kwa sababu una chuki binafsi..

Kwako wewe unapenda usikie uchumi umeanguka 🤣🤣
Kabla 4.2%mwendazake alisemaje. Usijafanye umesahau maana nitakuwekea link hapa
Kwani tuko awamu ya Mwendazake saizi?
 
Hata nikikujibu Bado utapinga Kwa sababu una chuki binafsi..

Kwako wewe unapenda usikie uchumi umeanguka 🤣🤣

Kwani tuko awamu ya Mwendazake saizi?
Porojo nyingi sisi Hatutaki taarifa tunataka uhalisia na ukweli.
Hizo data za kuchomeka na kuchonga zisimame na kujitetea zenyewe
 
Shida unataka tuchujue data tu pasipo kuquestion. Mfano nikuulize kwa nini imefanyika review ya hizo data na kuja na revised version.0.3% imetokana na nini hadi kuwe na ongezeko.

Unapokuwa umetoa ongezeko au anguko pasipo kusema kilichopeleka +/- unafanya kila mtu ajiulize kulikoni? Na hii ndio wasiwasi wangu na wengine
 
Sasa unaniuliza Kwa nini usisome sababu?

Hujawahi weka estimate ukakuta kumbe ume underestimate?

Simple answer ni kwamba shughuli za uzalishaji zimeongezeka zaidi ndio maana Wakareview ku cater for the new activities.
 
Porojo nyingi sisi Hatutaki taarifa tunataka uhalisia na ukweli.
Hizo data za kuchomeka na kuchonga zisimame na kujitetea zenyewe
Kwani hapo zinasimama na.kutetewa na wewe? Unataka kuona nini? Hapo ulipo hakuna unachokiona? Nitajie Mkoa ulipo nikushushue .
 
Sasa unaniuliza Kwa nini usisome sababu?

Hujawahi weka estimate ukakuta kumbe ume underestimate?

Simple answer ni kwamba shughuli za uzalishaji zimeongezeka zaidi ndio maana Wakareview ku cater for the new activities.
We ndio kichwa maji kweli. Kama shughuli zilifungwa December na reporting time ni January - December na wakati wanatoa report all activities were closed. Zinaongezekaje.... kama kumekuwa na tatizo kubwa hivyo say quarter ya mwisho je mbona hatukuona huko kwenye quarter zingine.

Kama na rebase of GDP parameters inafahamika inavyofanyika. Sabau ni zipi. Anyway naweza kuwa najadili na wrong person.
 
Rudia kusoma ujinga wako harafu uulize tena.
 
Back
Top Bottom