BoT: Uchumi wa Tanzania Umekuwa Kwa Kasi ya Asilimia 5% Mwaka 2022 Tofauti na Matarajio

BoT: Uchumi wa Tanzania Umekuwa Kwa Kasi ya Asilimia 5% Mwaka 2022 Tofauti na Matarajio

Tupe mifano ya hizo shughuli za uzalishaji zilizoongezeka mkuu
Hilo tuu ,soma hiyoo 👇
20230320_193855.jpg
20230320_154813.jpg
20230313_225559.jpg
20230311_083407.jpg
20230311_083318.jpg
20230311_083304.jpg
20230311_083150.jpg
20230311_083134.jpg
20230311_083037.jpg
20230311_044432.jpg
 
Wewe mchumi tupe taarifa na uchambuzi wako.
Kwa zaidi ya miaka kumi sasa bidhaa zimekuwa zikipanda bei vibaya na thamani ya shilingi imekuwa ikiporomoka na kuathiri purchasing power za watu halafu bado hawa watu wanatudanganya kwamba uchumi unakua.

Angalia jinsi pesa ilivyokosa thamani shilingi sasa hivi 2,386 ndio sawa na dola moja ya Marekani na bado inazidi kuporomoka tu, ebu serikali iache kufanya watu kama wajinga.

Ukiona pesa yako inapoteza thamani ni wazi kwamba uchumi wako inaporomoka na hii haihitaji degree kufahamu na vivyo hivyo bei ya bidhaa ikizidi kupanda. Tatizo huyu rais wa sasa, sawa na Magufuli, ni watu wanaopenda tu kusujudiwa wakati hamna chochote cha maana wanachokifanyia hii nchi. Bure kabisa.
 
Huu uchumi wa kushuka Kwa thamani ya pesa ni WA wapi?

Kwa hiyo Burundi ambayo saragu yake Ina thamani kushinda Tanzania Ina uchumi mkubwa na watu Wana Maisha Bora kuliko Tanzania?

Kwa hiyo Mwalimu wako alikufundisha kwamba gage ya kupimia uchumi ni thamani ya pesa?

Unaelewa maana ya GDP kwanza? Kwanza najichosha kujibu kilaza,basi ndio hivyo Mzee uchumi wa Tanzania umeshuka ni WA mwisho Afrika na Duniani.

Tulianzishe tu km Kenya, hali nitete mnoo si masihara, watu wanagugumia tu lkn....
 
Tulianzishe tu km Kenya, hali nitete mnoo si madhara, watu wanagugumia tu lkn....
Wewe unadhani ulianzishe Kwa kipi hasa Cha kulinganisha na Kenya?

Ndio maana mkiitosha maandamano au uchaguzi Huwa mnaangukia pua.
 
Sukuma gang mnasoma namba lakini?

Hii ndio kazi ya Samia ,Rais anayeonesha maana ya Uongozi

Nani aaiyejua serikali ya ccm,ni mabingwa wa kupika data ila ki uhalisia hali ni tete,uchumi unakua kwenye makaratasi tu,absurd

Duh uchumi Hakuna kitu kinapikwa labda kitu hujui ni kwamba ili uone kukua kwa uchumi ni katika shughuli zako za kujiingizia kipato lakini kama unakula nyumbani huwezi ona hata kidogo
 
Nimepitia maoni ya wachangiaji wote hadi hapa, nimeona walioridhia hiyo ripoti ya BoT ni asilimia 15 wakati walioipinga ni 85%

Kwahiyo BoT mnatakiwa kutoa ripoti inayoakisi hali halisi, hauwezi kusema Uchumi umekuwa wakati hali za maisha ziko Chini. Still watu wanakula milo miwili

Haha una njaa kali kijana fanya kazi maisha sio magumu fanyeni kazi
 
Haha una njaa kali kijana fanya kazi maisha sio magumu fanyeni kazi
Umetumia kipimo gani kujua nina njaa, bahati tunatumia fake ID's

Ila wakati mwingine vizuri kupokea maoni tofauti pia
 
Back
Top Bottom