BOT - Wamenoa meno sawa sawa

Itoshe kusema tu kuwa ajira pamoja na mazuri yake ila ina changamoto zake vile vile ,
Sina tu security ya maisha yangu Ila ifeel quite safe huku kwenye kujiajiri .
Taratibu tuu mkuu utafika na utakua na security
 
Ehh ehh
Ukute raia watafunguliwa uhujumu uchumi japo sidhani kama sheria applies retrospectively;.,ama ni ya mwaka gani hii uhujumu uchumi?

maybe watakublock usiajiriwe ktk taasisi za kifedha tena
 
Ehh ehh
Ukute raia watafunguliwa uhujumu uchumi japo sidhani kama sheria applies retrospectively;.,ama ni ya mwaka gani hii uhujumu uchumi?

maybe watakublock usiajiriwe ktk taasisi za kifedha tena

Makosa ya jinai huwa hayana time bar
 
Wewe hutaki kama nani sasa?
 
Enzi zile CDM haimtegemei Robert amsterdam
Kwani JF ilikua ina u-chama enzi hizo? Ilikua ni facts tu whether ni CCM or opposition watu walikua objective.

Sahvi imejaa wafia chama tu kina Countrywide ambao haijalishi baya au zuri gani lifanyike wao ni kutetea tu na kupongeza.

So sad
 
Kweli hiki ndio kichwa cha mwendawazimu ,ila kuna watu wanatafutwa hapa
 
Umenena vyema

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
Wale walio piga barclays wakaondoka kwa wema kabisa kwani hii ina wahusu πŸ˜‚
 
Ehh ehh
Ukute raia watafunguliwa uhujumu uchumi japo sidhani kama sheria applies retrospectively;.,ama ni ya mwaka gani hii uhujumu uchumi?

maybe watakublock usiajiriwe ktk taasisi za kifedha tena
Raia ndio wenyewe hao πŸ™†
 
Kuna watu wanatafutwa hapa,

Hasa hasa wale walopiga sana kwenye aya mabenk makubwa na kwenda kuwekeza kwenye TAASISI NDOGO NDOGO ZA KUKOPESHA.
 
Sa hivi Hamna makali tena kama wakati ule kabla mitano tena.

Sa hizi ndo hela inapigwa kwa kwenda front kuanzia RAIA no one mpaka karani,hakuna cha kupoteza ni muda Wa kujichotea sasa.
Vipi kwa upade wako mpaka sasa umechota ngapi ili tuanzie hapo kwako?
 
Kuna watu wanatafutwa hapa,

Hasa hasa wale walopiga sana kwenye aya mabenk makubwa na kwenda kuwekeza kwenye TAASISI NDOGO NDOGO ZA KUKOPESHA.
Kuna watu walikwiba wakaenda kufungua kampuni zao binafsi na sasa wana mitaji mikubwaaa
Sasijui itakuajeπŸ™„πŸ™„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…