Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ehh ehh
Ukute raia watafunguliwa uhujumu uchumi japo sidhani kama sheria applies retrospectively;.,ama ni ya mwaka gani hii uhujumu uchumi?
maybe watakublock usiajiriwe ktk taasisi za kifedha tena
Kwa hiyo benki kuu imejivika jukumu la kuwa wakili wa hizo bank ambazo staff wao waliji-involve na hizo misconduct?
Hata kama lengo lao ni zuri lakini kwa bank kuu kujihusisha na hili moja kwa moja kunaonesha kuna msukumo wanaoupata toka mahali, wanataka hao watuhumiwa waka settle matter kwa DPP kama kawaida yao, wachukue mzigo wakafanyie mambo yao.
Binafsi ningependa hizo kesi ziende mahakamani, kila upande upeleke mashahidi wake mbivu na mbichi zikaamuliwe na hakimu, sitaki hao watuhumiwa waishie kukaa jela miaka kesi zikiitwa mahakamani upande wa mashtaka kila siku waseme uchunguzi bado unaendelea, huu ni uonevu.
Mkuu upo? Ulipotea sana jukwaani.Duh yani hata ukiresign katikati ya msala bado shida
Enzi zile CDM haimtegemei Robert amsterdamMkuu upo? Ulipotea sana jukwaani.
Namiss zile debate zako kuhusu mauaji ya kimbari. Enzi zile Jf ni facts juu ya facts.
Kwani JF ilikua ina u-chama enzi hizo? Ilikua ni facts tu whether ni CCM or opposition watu walikua objective.Enzi zile CDM haimtegemei Robert amsterdam
Kivipi?Source ya mapato kwa njia mpya!
Kivipi?
Umenena vyemaKwa hiyo benki kuu imejivika jukumu la kuwa wakili wa hizo bank ambazo staff wao waliji-involve na hizo misconduct?
Hata kama lengo lao ni zuri lakini kwa bank kuu kujihusisha na hili moja kwa moja kunaonesha kuna msukumo wanaoupata toka mahali, wanataka hao watuhumiwa waka settle matter kwa DPP kama kawaida yao, wachukue mzigo wakafanyie mambo yao.
Binafsi ningependa hizo kesi ziende mahakamani, kila upande upeleke mashahidi wake mbivu na mbichi zikaamuliwe na hakimu, sitaki hao watuhumiwa waishie kukaa jela miaka kesi zikiitwa mahakamani upande wa mashtaka kila siku waseme uchunguzi bado unaendelea, huu ni uonevu.
Hapa pagumu sana haswa ukizingatia sheria ni sheria tuu.
Sheria na taratibu zinaweza kuwa hazifuatwi wala kufuatiliwa na vyombo au pande husika, kwa muda na kwa makusudi lakini huwa haizeeki, hazifi wala kustaafu.
Maendeleo hayana vyama fundi25 upo wapi
Raia ndio wenyewe hao 🙆Ehh ehh
Ukute raia watafunguliwa uhujumu uchumi japo sidhani kama sheria applies retrospectively;.,ama ni ya mwaka gani hii uhujumu uchumi?
maybe watakublock usiajiriwe ktk taasisi za kifedha tena
Vipi kwa upade wako mpaka sasa umechota ngapi ili tuanzie hapo kwako?Sa hivi Hamna makali tena kama wakati ule kabla mitano tena.
Sa hizi ndo hela inapigwa kwa kwenda front kuanzia RAIA no one mpaka karani,hakuna cha kupoteza ni muda Wa kujichotea sasa.
Kuna watu walikwiba wakaenda kufungua kampuni zao binafsi na sasa wana mitaji mikubwaaaKuna watu wanatafutwa hapa,
Hasa hasa wale walopiga sana kwenye aya mabenk makubwa na kwenda kuwekeza kwenye TAASISI NDOGO NDOGO ZA KUKOPESHA.