Madogo wameona requirements wamekimbia uzi wote!!
Kwi kwi kwi oil sumu njoo hapa
Dah nina EED in maths, eco, na geo respctvly xaxa hapo sifai hata kufanya usafi!!!! Duh wa kukosa tutakosa mpka lini????
mimi sijasoma masomo ya kuhumiza kichwa mimi nipe masomo ya art
mimi sijasoma masomo ya kuhumiza kichwa mimi nipe masomo ya art
umefeli sana we kapige debe hata kama ukipata chuo basi cha kata au taasisi
mimi sijasoma masomo ya kuhumiza kichwa mimi nipe masomo ya art
umefeli sana we kapige debe hata kama ukipata chuo basi cha kata au taasisi
Ya arts yenyewe umepata alama kama wanazozihitaji hapo?
Oil xum we mwenyewe kilaza!!! Unafikiri kupata e ya pure ni mchezo!!!!!!
mkuu oil sumu unasoma chuo gani?da maana da
mbona ckuumiza kchwa na nilichana fresh!!.,au ndo sizitaki mbichi hizi km kasungura!
wewe kilaza utapataje E