Abloodi
Senior Member
- Oct 27, 2011
- 165
- 12
BOT sasa wanatoa scholarship kwa wanafunzi mtaopangiwa course za economics ,math,accoun na finance na hata kwa wale watao taka masters...kwa nyie mliomaliza 6 ,lazma uwe na div 1 na uwe umepata A kati ya hayo maxomo hapo juu ,na kwa wanaotaka masters lazma uwe na GPA kuanzia 4 na kupanda, kwa maelezo zaidi tembelea web ya BOT