BOT watoa scholarship changamkia

BOT watoa scholarship changamkia

Abloodi

Senior Member
Joined
Oct 27, 2011
Posts
165
Reaction score
12
BOT sasa wanatoa scholarship kwa wanafunzi mtaopangiwa course za economics ,math,accoun na finance na hata kwa wale watao taka masters...kwa nyie mliomaliza 6 ,lazma uwe na div 1 na uwe umepata A kati ya hayo maxomo hapo juu ,na kwa wanaotaka masters lazma uwe na GPA kuanzia 4 na kupanda, kwa maelezo zaidi tembelea web ya BOT
 
Madogo wameona requirements wamekimbia uzi wote!!
 
Dah nina EED in maths, eco, na geo respctvly xaxa hapo sifai hata kufanya usafi!!!! Duh wa kukosa tutakosa mpka lini????
 
Wenye vigezo hawamo humu...labda muwafikishie ujumbe tu...humu vilaza wanafunzi wengi
 
Dah nina EED in maths, eco, na geo respctvly xaxa hapo sifai hata kufanya usafi!!!! Duh wa kukosa tutakosa mpka lini????

umefeli sana we kapige debe hata kama ukipata chuo basi cha kata au taasisi
 
Back
Top Bottom