BoT yaomba radhi: Ni baada ya kukosea na kusema Milioni 300 badala ya Bilioni 300

Hivi Zitto alihoji juu ya kukosea sijui kuandika 300M badala ya 300B ??

Alicho uliza Zito ni vipi hizo 300B zimepatikana kwenye faida ya 200B ?

Sasa ndio mtuambie uzuri wa namba huwa hazidanganyi
 
Mnatia aibu kwa kweli.

Naona hata Zitto mwenyewe anaamini kuwa kaombwa msamaha. Hivi ni kweli anaamini kaombwa yeye msamaha?
Ni aibu kwa mfumo wetu wa elimu, aibu kwa sisi wananchi kuwachagua viongozi wa aina hii, pia ni aibu kwa waliomteua au kumchagua kuwa mwenyekiti wa PAC.

Its a shame.
 
Watanzania daini katiba mpya na tume huru vinginevyo mtapata tabu sana
 
Wamemuomba msamaha mtenda maovu na mvaa hirizi. Furahia sasa ZWAZWA mwingine wa Lumumba.

Mnatia aibu kwa kweli.

Naona hata Zitto mwenyewe anaamini kuwa kaombwa msamaha. Hivi ni kweli anaamini kaombwa yeye msamaha?
Ni aibu kwa mfumo wetu wa elimu, aibu kwa sisi wananchi kuwachagua viongozi wa aina hii, pia ni aibu kwa waliomteua au kumchagua kuwa mwenyekiti wa PAC.

Its a shame.
 
Imekubali hoja ipi ya Zitto Kabwe?

Kabwe hakuzungumzia kosa la kiuandishi 300 billion kuwa 300 million, Kabwe alihoji mantiki ya namna gani dividend ya 300 billion inapatikana kwenye faida ya 200 billion?

Msimpe kiki za kijinga huyu mvaa hirizi.
Sasa mbona povu linakutoka?
 
Yule Dr. Sijui wa wapi vile sijui atasemaje sasa!...

Haya mambo ya kutafuya kiki za UDC ni mbaya sana
 
wasomi wamekuwa ni watumwa kwa wanasiasa ueledi wameweka pembeni wanajali maslahi binafsi
 
Delloite, CAG wote wamecertify hiyo ripoti.

How comes kunakuwa na makosa makubwa kama hayo?
 
Wamemuomba msamaha mtenda maovu na mvaa hirizi. Furahia sasa ZWAZWA mwingine wa Lumumba.
Hujui hata unachokizungumza, soma post ya Zitto ilisema billioni (ikimanisha alielewa) haikusema milioni. Hiyo apology haihusu swali la Zitto kuhusu faida ya bilioni 200 kutoa dividend ya bilioni 300. Inahusu kusema milioni badala ya bilioni.

Sasa wewe ushaaminishwa na huyo mwanga mwenzio kuwa mmeombwa msamaha na umeingia kingi. Yaani ungekuwa demu, basi maharage ya Mbeya au kijiwe cha wana.
 
Kwi kwi kwi punguza povu ZWAZWA. Mvaa hirizi mwambie AKATUBU hakuna jinsi.

Hujui hata unachokizungumza, soma post ya Zitto ilisema billioni (ikimanisha alielewa) haikusema milioni. Hiyo apology haihusu swali la Zitto kuhusu faida ya bilioni 200 kutoa dividend ya bilioni 300. Inahusu kusema milioni badala ya bilioni.

Sasa wewe ushaaminishwa na huyo mwanga mwenzio kuwa mmeombwa msamaha na umeingia kingi. Yaani ungekuwa demu, basi maharage ya Mbeya au kijiwe cha wana.
 
Kwa kuwa Baba yako anavaa gagulo na kujiuza pamoja nawe pale corner bar usidhani ni kila mtu anafanya kama Baba yako taahira wewe. Watu wapumbavu kama wewe ni hasara kubwa sana kwa Taifa.

Umeona ee! haya sasa vaa gagulo uondoke.
 
Kuna yule anayejiita "Dr" alikuja kujibu hapa kwa "hoja nyonge" kuwatetea BOT sasa anajisikiaje?
 
Kwa kuwa Baba yako anavaa gagulo na kujiuza pamoja nawe pale corner bar usidhani ni kila mtu anafanya kama Baba yako taahira wewe. Watu wapumbavu kama wewe ni hasara kubwa sana kwa Taifa.
You are just a waste of sperm.
 
Vp muro ana habari hizi kwmba mwenzie ni next level?
 
Imekubali hoja ipi ya Zitto Kabwe?

Kabwe hakuzungumzia kosa la kiuandishi 300 billion kuwa 300 million, Kabwe alihoji mantiki ya namna gani dividend ya 300 billion inapatikana kwenye faida ya 200 billion?

Msimpe kiki za kijinga huyu mvaa hirizi.
Aiseee haujapasuka kweli??? Maana maandishi yako yanaonesha kama umepaniki sana,.au una masilahi na BOT nini
 
Back
Top Bottom