Yamakagashi
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 8,614
- 17,626
Mnatia aibu kwa kweli.
Naona hata Zitto mwenyewe anaamini kuwa kaombwa msamaha. Hivi ni kweli anaamini kaombwa yeye msamaha?
Ni aibu kwa mfumo wetu wa elimu, aibu kwa sisi wananchi kuwachagua viongozi wa aina hii, pia ni aibu kwa waliomteua au kumchagua kuwa mwenyekiti wa PAC.
Its a shame.
Nonsense comment mkuu!!Kweli naamini ule usemi usemao kama elimu ghali chagua ujinga.
umeamuwa kuchagua ujinga pole sana. shame
Mbeba mabox US!!Wamemuomba msamaha mtenda maovu na mvaa hirizi. Furahia sasa ZWAZWA mwingine wa Lumumba.
Sasa mbona povu linakutoka?Imekubali hoja ipi ya Zitto Kabwe?
Kabwe hakuzungumzia kosa la kiuandishi 300 billion kuwa 300 million, Kabwe alihoji mantiki ya namna gani dividend ya 300 billion inapatikana kwenye faida ya 200 billion?
Msimpe kiki za kijinga huyu mvaa hirizi.
Sina hakika kama atatokeza ktk hiloYule Dr. Sijui wa wapi vile sijui atasemaje sasa!...
Haya mambo ya kutafuya kiki za UDC ni mbaya sana
Hujui hata unachokizungumza, soma post ya Zitto ilisema billioni (ikimanisha alielewa) haikusema milioni. Hiyo apology haihusu swali la Zitto kuhusu faida ya bilioni 200 kutoa dividend ya bilioni 300. Inahusu kusema milioni badala ya bilioni.Wamemuomba msamaha mtenda maovu na mvaa hirizi. Furahia sasa ZWAZWA mwingine wa Lumumba.
Hujui hata unachokizungumza, soma post ya Zitto ilisema billioni (ikimanisha alielewa) haikusema milioni. Hiyo apology haihusu swali la Zitto kuhusu faida ya bilioni 200 kutoa dividend ya bilioni 300. Inahusu kusema milioni badala ya bilioni.
Sasa wewe ushaaminishwa na huyo mwanga mwenzio kuwa mmeombwa msamaha na umeingia kingi. Yaani ungekuwa demu, basi maharage ya Mbeya au kijiwe cha wana.
Umeona ee! haya sasa vaa gagulo uondoke.Kwi kwi kwi punguza povu ZWAZWA. Mvaa hirizi mwambie AKATUBU hakuna jinsi.
Umeona ee! haya sasa vaa gagulo uondoke.
You are just a waste of sperm.Kwa kuwa Baba yako anavaa gagulo na kujiuza pamoja nawe pale corner bar usidhani ni kila mtu anafanya kama Baba yako taahira wewe. Watu wapumbavu kama wewe ni hasara kubwa sana kwa Taifa.
You are just a waste of sperm.
Aiseee haujapasuka kweli??? Maana maandishi yako yanaonesha kama umepaniki sana,.au una masilahi na BOT niniImekubali hoja ipi ya Zitto Kabwe?
Kabwe hakuzungumzia kosa la kiuandishi 300 billion kuwa 300 million, Kabwe alihoji mantiki ya namna gani dividend ya 300 billion inapatikana kwenye faida ya 200 billion?
Msimpe kiki za kijinga huyu mvaa hirizi.