MZEE MSASAMBEGU
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 2,780
- 2,555
Mvaa hirizi kama yule mwenyekiti wa chama muogopa maitiImekubali hoja ipi ya Zitto Kabwe?
Kabwe hakuzungumzia kosa la kiuandishi 300 billion kuwa 300 million, Kabwe alihoji mantiki ya namna gani dividend ya 300 billion inapatikana kwenye faida ya 200 billion?
Msimpe kiki za kijinga huyu mvaa hirizi.
Hoja gani ya zitto imekubaliwa kwenye tangazo hilo la BOT?? Au lugha inakupiga chenga?? Hapo wana sahihisha typing error million to Billion!!
Alichokuwa anabishania Zitto siyo hizo typing errors, yeye slikuwa anahoji unapata faida billion 200 na unalipa dividend billion 300 hizo zingine zimetoka wapi?Vijana wanatafuta nafasi hao
Mkuu lugha ya malkia inatuchenga,ila hoja ya zzk ina maantikiWw ndio hujaelewa walichorekebisha hapo ni typing error kuwa badala ya billion 300 waliweka milioni mia 300 hawajaogelea habari za maingizo na faida Dr Mlundwa bado yupo sahii Zito amechemka