figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Hii taarifa huwezi isikia ikipewa airtime kwasababu utaambiwa inaleta uchocheziMamlaka zetu zinafanya kazi gani? Inakuaje Boti inakosa life jackets au Maboya? Na Watu wanakaa maofisini?
Uzembe wa Serikali ya awamu ya Sita inaendelea kuteketeza roho za Watanzania. Damu ya binadamu 29.10.2025 haikuwatosha
Watumishi sita wa afya kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma wamefariki baada ya boti walilokuwa wamepanda kupinduka na kuzama katika Ziwa Tanganyika, karibu na Kijiji cha Kalalangabo, wakati wakielekea kusambaza dawa katika vijiji ilivyopo mwambao wa ziwa hilo.
Mamlaka zetu zinafanya kazi gani? Inakuaje Boti inakosa life jackets au Maboya? Na Watu wanakaa maofisini?
Uzembe wa Serikali ya awamu ya Sita inaendelea kuteketeza roho za Watanzania. Damu ya binadamu 29.10.2025 haikuwatosha
Watumishi sita wa afya kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma wamefariki baada ya boti walilokuwa wamepanda kupinduka na kuzama katika Ziwa Tanganyika, karibu na Kijiji cha Kalalangabo, wakati wakielekea kusambaza dawa katika vijiji ilivyopo mwambao wa ziwa hilo.
Na wanajua kabisa lile ziwa huwa halieleweki mda wowote linavurugaMamlaka zetu zinafanya kazi gani? Inakuaje Boti inakosa life jackets au Maboya? Na Watu wanakaa maofisini?
Uzembe wa Serikali ya awamu ya Sita inaendelea kuteketeza roho za Watanzania. Damu ya binadamu 29.10.2025 haikuwatosha
Watumishi sita wa afya kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma wamefariki baada ya boti walilokuwa wamepanda kupinduka na kuzama katika Ziwa Tanganyika, karibu na Kijiji cha Kalalangabo, wakati wakielekea kusambaza dawa katika vijiji ilivyopo mwambao wa ziwa hilo.
Nakuunga mkono.. Halafu watajaza nafasi hizo kisha Serikali iseme imeajiriKafwala za mbogamboga
Hizi boti zilikuwa zinafanya kazi yaa Serikali. Kuna mamlaka inasimamia hilo. Wao wanalenga wqvuvi. Wakiona wavuvi mumekuja na samaki, ndo wanaanza kukagua vibali, life jackets nk. Vitu ambavyo kama huna huwezi lipia kwa wakati huo.. Inqbidi utoe rushwa ya Samaki kuachie huru.. Kumbe wao wanaruhhusiana kufanya kazi bila hata boyaMkuu, hizo boti za huko maziwani huwa hazina life jackets wala maboya wala kitu chochote kinachohusiana na uokozi. Sio Ziwa Tanganyika pekee, maziwa yote hapa nchini wananchi wanavyosafiri na hizo boti za kawaida za local,hakunaga tahadhari za usalama. Ndo hali halisi usishtuke.
Mimi nimesafiri maziwani na hayo maboti ya abiria,sijawahi kuona tahadhari yoyote wala ukaguzi wala nini,yaani unasafiri roho mkononi tena wakati mwingine boti limejaa kupitiliza. Wahusika hawana timeHizi boti zilikuwa zinafanya kazi yaa Serikali. Kuna mamlaka inasimamia hilo. Wao wanalenga wqvuvi. Wakiona wavuvi mumekuja na samaki, ndo wanaanza kukagua vibali, life jackets nk. Vitu ambavyo kama huna huwezi lipia kwa wakati huo.. Inqbidi utoe rushwa ya Samaki kuachie huru.. Kumbe wao wanaruhhusiana kufanya kazi bila hata boya
Wote wale wale tu.Mv Ukara ilizama enzi zake na watu karibu 200 walikufa, mbaya zaidi uokoaji ulikuwa unasitishwa ikiingia giza, kabisa yaani unasitisha uokoaji wa watu kisa giza? Ngozi nyeusi ni laana.Tanzania hatujawai kua na viongozi tangaia Magufuli amekufa