Mamlaka zetu zinafanya kazi gani? Inakuaje Boti inakosa life jackets au Maboya? Na Watu wanakaa maofisini?
Uzembe wa Serikali ya awamu ya Sita inaendelea kuteketeza roho za Watanzania. Damu ya binadamu 29.10.2025 haikuwatosha
Watumishi sita wa afya kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma wamefariki baada ya boti walilokuwa wamepanda kupinduka na kuzama katika Ziwa Tanganyika, karibu na Kijiji cha Kalalangabo, wakati wakielekea kusambaza dawa katika vijiji ilivyopo mwambao wa ziwa hilo.
kwenye pantoni pale kivukoni zimefungiwa kwenye chemba tena makufuli yana kutu kabisaa
kwenye vile vi tax ferry vya azam pale ferry pia hakuna
mamlaka zipo tu mijitu imevimbiwa utaisikia
KAZI NA UTU,,,,,,,,,,,,,,,,,,,, SIJUI WANASONGA MBELE KUELEKEA KWENYE MAUAJI YA WASIO NA HATIA AU WAPI?
Guys anaendelea na viroja mikoani