Boti iliyozama Kigoma na Watumishi wa afya, Kwanini haikuwa na life jackets?

Aisee.

Binafsi usafiri wa maji nauogopa sana haswa boti, mitumbwi hunipandishi kabisa.
 
Aisee.

Binafsi usafiri wa maji nauogopa sana haswa boti, mitumbwi hunipandishi kabisa.
Kabisa,hasa huko Tanganyika na Victoria.
Siku Cruise meli kuubwa aisee baharini Kati huko ikapigwa dafrau
kila ukigeuka ni maji tu unaona.
Meli imebamizwa vibaya ikipigwa mawimbi inageuzwa tu.
Tulikaa mle majini mpaka kumekucha ndio helikopter ikaja na mafundi mchana jioni tukaondoka.
Toka hiyo siku watoto na mimi hatujapanda tena meli.
 
Watumishi wa serikali wanafanya kazi ngumu kwa ku risk maisha yao, huku samuya anagawagawa tu hela kwa sifa hadi wengine anawanunulia magari!
Mungu aingillie kati
 
kwenye pantoni pale kivukoni zimefungiwa kwenye chemba tena makufuli yana kutu kabisaa
kwenye vile vi tax ferry vya azam pale ferry pia hakuna
mamlaka zipo tu mijitu imevimbiwa utaisikia
KAZI NA UTU,,,,,,,,,,,,,,,,,,,, SIJUI WANASONGA MBELE KUELEKEA KWENYE MAUAJI YA WASIO NA HATIA AU WAPI?
Guys anaendelea na viroja mikoani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…