BANDOKITITA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,484
- 2,852
Watanganyika bwana vichwa maji kwelikweli. Huyo jamaa anaesema uislam unarudisha maendeleo nyuma mbona hatoi evidence. Km uislam ni adui wa maendeleo vipi nchi km Soud Arabia, vipi Morocco nk.Uislamu unachangia vip kudidimiza maendeleo?