Botswana imefanyaje kufikia hatua hii?

Nchi kubwa na yenye watu wengi kama Tanzania huwezi centralize ukafaulu maana hata sasa tuna central system.

Nchi ikiwa kuwa inatakiwa ugatuzi Ili Mikoa ijisimamie na pia tuwe na sheria Kali na taasisi huru za Kusimamia hizo sheria ndio tutafaulu.

Mwisho jamii ya watu kama Watanzania wanaopenda shortcut ni tatizo but wanahitaji kuzoezwa mwanzoni itakuwa maumivu lakini baadae watazoea na utakuwa utamaduni.
 
Wewe mjinga labda Urais wa machawa wenzio. Stupid
 
CCM ndio imetufikisha hapa ufisadi na sera mbovu

Mkiona jinsi wao wanavyogawana keki ya taifa ndugu zangu msizionee huruma pesa za serikali

●Ukipata nafasi ya kutolipa kodi fanya juu chini usilipe kodi
●Ukipata nafasi ya kupiga pesa au kuiba vifaa vya serikali piga na iba kadiri uwezavyo
●Usiache kula rushwa

NB: Cha muhimu usikamatwe
 
Centrallized gvt type ya botswana, ije bongo lazma tuteme bungo.
 
Hata hao wezi wengine walianza hivhivi wakajikuta ni kundi kubwa😁😁😁
 
Wale sio wabantu sana.
 
Siri ni hii hapa,

View attachment 2961469
Kwa kifupi hawawezi kumuumiza shemeji yao... Dada yao atapata shida... Maana dada mtu alikolea sana kwa jamaa,, na alikuwa yupo teyari kwa lolote.... Wakaona isiwe tabu....
Jamaa alivyotoka masomoni na kupata uongozi mapema kabisa alikaa na wazungu na kuangalia ni namna gani madini yatanufaisha pande zote mbili
 
Centrallized gvt type ya botswana, ije bongo lazma tuteme bungo.
Alishindwa Mwalimu,wameweza Kwa sababu ni wachache.

Hakuna Nchi yenye watu wengi na kubwa utaitawala Kwa centralization ikafanikiwa.

Tanzania tuna centralization ndio maana hatuendelea.Haiwezekani Bajeti ya kujenga vyoo ipigishwe Tamisemi ni upuuzi.
 
Mbona mwanza haipo hivyo sasa
Hela ya mwanza lazma ifike ikulu chamwino au pale mzizima, then raisi annaikata anasema inaenda jenga daraja Tarime, tarime kuna wajomba wanaisubiri walipie lodge dollar 480 kwa siku, kuna mwingine ananunue prado la milioni 180, simba wapewe kila goli, yanga wapewe kwenye beseni. So haiwezi kuwa kama botswana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…