Botswana imefanyaje kufikia hatua hii?

Botswana imefanyaje kufikia hatua hii?

Welcome to Botswana 🇧🇼

In Botswana, citizens get free land, free healthcare, and free education.

University students receive $154 in allowances monthly.

It has low debt.

It has Africa's best Police service.

It is an upper-middle-income country.

It has Africa's highest credit rating.

It is one of the safest countries in Africa.

Citizens have visa-free access or visa-on-arrival status to 87 countries including the UK.

View attachment 2961420
Rais wao Ana asili ya UZUNGU
 
Ikiwa nchi inakuwaje
Kuna Botswana ngapi nchini Tz kwa maana hiyo.
China na Tz ipi kubwa?
Nigeria je!
Vipi kuhusu India. Je sisi tumewazidi kwakua wao wapo wengi?
Nigeria ni takataka hamna kitu.

China hao ni watu weupe usilinganishe na Tzn

Mwisho Sina hakika kama China inatumia mfumo upi but nadhani ni mfumo wa Majimbo ila tuu taasisi za Kudhibiti Rushwa ndio ziko vizuri.
 
Nigeria ni takataka hamna kitu.

China hao ni watu weupe usilinganishe na Tzn

Mwisho Sina hakika kama China inatumia mfumo upi but nadhani ni mfumo wa Majimbo ila tuu taasisi za Kudhibiti Rushwa ndio ziko vizuri.
Kwahiyo ishu ni idadi ya watu au kudhibiti rushwa.
Unasema Nigeria ni takataka ila wanakuzidi GDP
South Africa nao idadi yao ya watu ni kubwa kuliko sisi au nao ni takataka Kama Nigeria.
 
Ingekua hivyo Basi mwanza ingekua Kama Botswana kwa maendeleo. Na Tanzania ingekua zaidi ya Botswana kwa maendeleo sababu imewazidi idadi ya watu. Watu wanauongozi mzuri kutuzidi tuache siasa tuwe wakweli
Unadhani kuhudumia familia ya watu watatu na watu 10 ni sawa! Ukienda Botswana kamji kazina unakazunguka ndani ya muda mfupi tu umekamaliza kama kuzunguka Ilemela na Nyamagana.
 
Siku tukiacha kuzaliana kama panya, apo tutaweza kujihudumia vizuri.[emoji850]
Nchi ina rosources lakini haina mikakati. Watu wanahimizana kuzaliana wakati hawana namna ya kuifanya population yao kuwa silaha, nguzo na productive, badala yake wanazaliana na kuishia kutengeneza disposable population, jamii isiyojiweza kwa lolote lile.
 
Back
Top Bottom