Botswana: Township Rollers 0 - 0 Yanga SC! Yanga imetolewa katika Ligi ya Mabingwa Afrika kwa matokeo ya awali

Chirwa anapiga straight anonymous pass ambayo kitaalam tunaiita single acrobatic pass. Ni pass ambayo wachezaji wachache sana huwa wanamudu kuicheza.

Kwako Jesse.
Tulia ndala, chura leo mtapigwa 4...
 
Ila refa siyo, anatoa kadi za uonevu kwa wachezaji wetu
 
Kila la kheri timu yangu pendwa.

Siku zote Daima mbele nyuma mwiko.
Naona leo mnachezewa rede huku mtani....

Ila nawaombea mpate hata goli moja maana mkilipata hilo mtajiamini na kufunguka vile....

Sisi simba game iko wazi kabisa mwarabu tunamnyoa sharubu mapema kabisa [emoji2]
 
Yanga hamna kitu ubunifu 0 bora simba kidogo wana matumaini wana mafundi wengi
 
Gooooooooooooooooooooooo! Dah umeme umekatika hapa sina uhakika inawezekana
kakosa.
[emoji3] [emoji3] nilitaka kuluka luka nikadhani Ndala ndo washaolewa kumbe tanesco.
 
Naona leo mnachezewa rede huku mtani....

Ila nawaombea mpate hata goli moja maana mkilipata hilo mtajiamini na kufunguka vile....

Sisi simba game iko wazi kabisa mwarabu tunamnyoa sharubu mapema kabisa [emoji2]
Yaani wacha kabisa Mtani. Ila nina imani goli lipo.

Hahaaa. Mie yangu macho hiyo baadae kwa mwarabu.
 
Goal naliona tatizo litakuja kufunga goal zaidi ya moja maana mngefunga japo goal moja half time ingependeza zaidi...

Nitahitaji dua zako maana mimi leo nimewaombeeni kheri mtani...
 
Tulishachemsha mwanzo ila hapa tunasubiria Kudra za Mwenyezi Mungu huenda ikawa.

Hahaaa. Mie ntajaribu mtani muda ukifika. [emoji12]
 
Back
Top Bottom