Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
nilikuwa bize aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nilikuwa bize aisee
🙁 🙂 ):Chirwa anapiga straight anonymous pass ambayo kitaalam tunaiita single acrobatic pass. Ni pass ambayo wachezaji wachache sana huwa wanamudu kuicheza.
Kwako Jesse.
nasikia mmewahi usajili wa ndondo cupKimataifa hamna chenu ni kujaza mbu tu. Subiri soka ya uhakika bila chenga kwa Simba SC Vs Mwarabu
Hahahaaa. Na nyie pia Mtani ahsanteni kwa kushiriki. Lol.Wala haituzuii kusema chochote Mtani. Narudia tena asanteni kwa kuja kushiriki
Pole Kaka.nilikuwa bize aisee
Basi tim zingine zijitahidi ili msimu ujao ziende mfano azam simba na mbeya city au singida kwa nini zinaiachia yanga kila sikuJamani Yanga si timu kivile, tulisha waambia hawa ni wachovu tu wa kimataifa, mnabisha nini? Miaka nenda miaka rudi hali ni ile ile tu kwao.
Na atarud jangwan kutoka shirikisho hapo ndipo aibu itamzidi kushindwa options mbili zoteKuna mmoja anarudi Shirikisho mwingine anarudi Kariakoo.
poa pamoja sanaPole Kaka.