Botswana: Township Rollers 0 - 0 Yanga SC! Yanga imetolewa katika Ligi ya Mabingwa Afrika kwa matokeo ya awali

Botswana: Township Rollers 0 - 0 Yanga SC! Yanga imetolewa katika Ligi ya Mabingwa Afrika kwa matokeo ya awali

Chirwa anapiga straight anonymous pass ambayo kitaalam tunaiita single acrobatic pass. Ni pass ambayo wachezaji wachache sana huwa wanamudu kuicheza.

Kwako Jesse.
🙁 🙂 ):
 
Jamani Yanga si timu kivile, tulisha waambia hawa ni wachovu tu wa kimataifa, mnabisha nini? Miaka nenda miaka rudi hali ni ile ile tu kwao.
Basi tim zingine zijitahidi ili msimu ujao ziende mfano azam simba na mbeya city au singida kwa nini zinaiachia yanga kila siku
 
Kuna mmoja anarudi Shirikisho mwingine anarudi Kariakoo.
 
Back
Top Bottom