Tulia ndala, chura leo mtapigwa 4...Chirwa anapiga straight anonymous pass ambayo kitaalam tunaiita single acrobatic pass. Ni pass ambayo wachezaji wachache sana huwa wanamudu kuicheza.
Kwako Jesse.
Vyura mmeanza kulia lia...Ila refa siyo, anatoa kadi za uonevu kwa wachezaji wetu
Tuliza lichura lako, mtapigwa mpaka mchanganyikiwe!Ila refa siyo, anatoa kadi za uonevu kwa wachezaji wetu
Ameeeen!Mungu saidia watanzania tufungwe bao za kutosha huko!! Ameen!
Naona leo mnachezewa rede huku mtani....Kila la kheri timu yangu pendwa.
Siku zote Daima mbele nyuma mwiko.
Jamani jamani jamaniMungu saidia watanzania tufungwe bao za kutosha huko!! Ameen!
Hahaaa. Pole best. [emoji85] [emoji85]Ila refa siyo, anatoa kadi za uonevu kwa wachezaji wetu
[emoji3] [emoji3] nilitaka kuluka luka nikadhani Ndala ndo washaolewa kumbe tanesco.Gooooooooooooooooooooooo! Dah umeme umekatika hapa sina uhakika inawezekana
kakosa.
Yaani wacha kabisa Mtani. Ila nina imani goli lipo.Naona leo mnachezewa rede huku mtani....
Ila nawaombea mpate hata goli moja maana mkilipata hilo mtajiamini na kufunguka vile....
Sisi simba game iko wazi kabisa mwarabu tunamnyoa sharubu mapema kabisa [emoji2]
Goal naliona tatizo litakuja kufunga goal zaidi ya moja maana mngefunga japo goal moja half time ingependeza zaidi...Yaani wacha kabisa Mtani. Ila nina imani goli lipo.
Hahaaa. Mie yangu macho hiyo baadae kwa mwarabu.
Azam spotrs mkuunaiona wapi hii match?
Tulishachemsha mwanzo ila hapa tunasubiria Kudra za Mwenyezi Mungu huenda ikawa.Goal naliona tatizo litakuja kufunga goal zaidi ya moja maana mngefunga japo goal moja half time ingependeza zaidi...
Nitahitaji dua zako maana mimi leo nimewaombeeni kheri mtani...
Acha ujinga weweMungu saidia watanzania tufungwe bao za kutosha huko!! Ameen!