Botwana wazalendo wanaongoza sisi wapigaji ndiyo viongozi

Umeandika Kwa uchache ila unauchungu ule wa kweli!
Nchi yetu mzalendo ni mwana CCM wengine wanahukumiwa ni vibaraka.
Hakuna jipya ni upigaji kwenda mbele.
 
Rais wa kisiwa kimoja ali tangaza wazi kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake . Uyu ana akili kweli kabsa ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…