PreGE2025 Bovan Mwakyambiki achukua Fomu kutia nia Udiwani Kata ya Mkimbizi Manispaa ya Iringa

PreGE2025 Bovan Mwakyambiki achukua Fomu kutia nia Udiwani Kata ya Mkimbizi Manispaa ya Iringa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM Bovan Mwakyambiki achukua Fomu ya kugombea Udiwani Kata ya Mkimbizi Manispaa ya Iringa katika uchaguzi Mkuu wa Oct 2025.

Akizungumza mara baada ya Kuchukua Fomu hiyo, Bovan amesema kuwa Hatua hii si tu ya kisiasa, bali ni ishara ya ujasiri, utayari na dhamira ya dhati ya kuwatumikia wananchi wa mkimbizi na taifa Kwa ujumla!

Amesema kuwa ni wakati sahihi wa kutafuta maendeleo jumuishi, na kuwa sauti ya wananchi katika kumsemea changamoto zinazowakabili na kuzitatua.

Screenshot_20250629_113543.jpg
 
Back
Top Bottom