Box Office battle: Avatar Vs Avengers

Box Office battle: Avatar Vs Avengers

Thor Dark world.
Ni Kweli Thor ni strongest Avanger ila kwenye Ragnarok tumeona udhaifu wake bila Nyundo sio chochote. Na thanos asingeweza kumkabili bila Nyundo.

Thor anampiga Surtur, Surtur anampiga Hela, halafu Thor anapigwa na hela. Sijawahi elewa hii Circle

yah Ni dark world[emoji1602]
Ragnarok ndio movie ya Thor nisiyoipenda kuliko.
Iron Man &Rodeo bila suti[emoji706]
Thor bla nyundo[emoji706]
Cap bila ngao[emoji706]Ila Ni fighter balaa huyu mjomba
Hulk ndo ameisha kabisa[emoji706][emoji2]sio yule wa 'that's my secret cap, am always angry'
 
Cap bila ngao bado ni strong sana napenda sana action zake Tony mwenyewe alikaa. Yaani kuna muda natamani ningekua strong kaa Cap😅
Ila nitachukua tu kupenda kwake haki na amani.

Toka hulk ajiite Smart Hulk hana kitu kabisa, Kawa mwanasayansi sio Smasher kama ilivyokua zamani....Rhodey bila Armor hamna kitu, tony ndio kabisa.

Thor Ragnarok ndio muvi bora ya Thor kaa chini uitazame upya tafadhali
 
Gauntlet sindio ule mpanga wa helcopta kwani ule una power gani sikama ngao au fimbo tu uwezo unatoka kwa mtumiaji.

Hulk si Baunsa aliyechangamka anauwezo gani wa kupambana na hawa wenye Extra super power...Wanda sianaweza mpasua Hulk kama Doctor Manhattan alivyompasua Rorschach kwenye Watchman, Cap Marvel anaweza mpasua Hulk kama anavyopasua ndege.

wengine Wana super extra power Ila Hulk ana unlimited power
 
Inabidi nizitafute Movie zote zakina Loki na Thor nipo mweupe kabisa huu upande.
Zifuatilie zipo tatu japo ya mwisho ndo nzurii zaidi..ngoja tuone ya 2022
 
Hawa jamaa wanajua kutengneza movie,imagine nilikuwa naangalia hiyo avatar siku moja,mzee wangu mwanzo akanicheka,na kebehi juuu “yaani wewe na ukubwa wote unaangalia cartoons”,ehehe siku hizi anaangalia mpaka Tom and jerry,anasema dah “kumbe ni mtazamo tu,kumbe sisi hatukufaidi”
Full kumsumbua “alexa” siku hizi[emoji6][emoji6]
Me naangalia katuni Sana, katuni si za watoto, Saiz naangali Sheep and wolves
 
wazee Kuna yule villain ana sura Kama samaki sijalishika jina lake kweny infinity war, alitumwa na Thanos kuja kuchukua time stone kwa Dr strange, naikumbuka Ile scene Tony akiwa na Strange, Master Wong na Hulk anamwambia the Earth is closed today. Naomba jina lake, aliwasumbua sana kila kitu anafanya kwa kusnap tu. nomA sana yule
 
Ebony Maw... Noma sana huyu jamaa hata hatumii nguvu sana kupambana ni kuamlisha tu kitu. Kiboko ya Doctor Strange
Alianza hivi.
Hear me and rejoice you have to the hands of children of thanos, Be thankful coz your meaningless life is now contributing...

Stark akamuwaha akamwambia..
I'm sorry earth is closed today you better back up and get out here.
Ebony Maw akamjibu...
Stone Keeper (Doc Strange) does this chartering animal speeks for you??😅😅
Hua nacheka sana hapa.

Sema tu nimepunguza mwanzo niliiua nakalili hadi dialogues.. Hasa kwenye Thor Ragnarok nilikua nimeikariri karibia nusu nzima ya muvi
 
yah Ni dark world[emoji1602]
Ragnarok ndio movie ya Thor nisiyoipenda kuliko.
Iron Man &Rodeo bila suti[emoji706]
Thor bla nyundo[emoji706]
Cap bila ngao[emoji706]Ila Ni fighter balaa huyu mjomba
Hulk ndo ameisha kabisa[emoji706][emoji2]sio yule wa 'that's my secret cap, am always angry'
Hulk kwanini yupo kwenye umbo la Hulk jumla jumla bila kubadilika sasahivi kwasababu gani.
 
Kweny Civil war Cap alimwelewa huyo dogo we unakataaje!
Alikuwa anamvua Thanos ule mkono kweny endgame
Kiujanja ujanja wa kirukaruka ila Serious Power hana.

Hand to Hand akiwa serious Cap mwenyewe anaweza kuwa mchumba ila utoto
 
Cap bila ngao bado ni strong sana napenda sana action zake Tony mwenyewe alikaa. Yaani kuna muda
Cap hakumkalisha Tony kwenye Hand to Hand fight Tony target yake ilikuwa Winter Cap akawa target yake Tony ana act kama resistance...Cap Ready to defeat Tony, Tony not...wote Cap na Winter walitoka damu mpaka baadae ukaingia urafiki tena wakamiliza mpambano ila ingekuwa Jino moja marafiki wangekufa mapema
 
Ebony Maw... Noma sana huyu jamaa hata hatumii nguvu sana kupambana ni kuamlisha tu kitu. Kiboko ya Doctor Strange
Alianza hivi.
Hear me and rejoice you have to the hands of children of thanos, Be thankful coz your meaningless life is now contributing...

Stark akamuwaha akamwambia..
I'm sorry earth is closed today you better back up and get out here.
Ebony Maw akamjibu...
Stone Keeper (Doc Strange) does this chartering animal speeks for you??😅😅
Hua nacheka sana hapa.

Sema tu nimepunguza mwanzo niliiua nakalili hadi dialogues.. Hasa kwenye Thor Ragnarok nilikua nimeikariri karibia nusu nzima ya muvi
Huyu jamaa ni Underrated naona kama anauwezo kuliko Boss wake aisee akifanya kikoono kama anachamba tu kazi unayo hakupaswa kuwa Chawa wa Thanos

Eti meaningless life
 
Ebony Maw... Noma sana huyu jamaa hata hatumii nguvu sana kupambana ni kuamlisha tu kitu. Kiboko ya Doctor Strange
Alianza hivi.
Hear me and rejoice you have to the hands of children of thanos, Be thankful coz your meaningless life is now contributing...

Stark akamuwaha akamwambia..
I'm sorry earth is closed today you better back up and get out here.
Ebony Maw akamjibu...
Stone Keeper (Doc Strange) does this chartering animal speeks for you??[emoji28][emoji28]
Hua nacheka sana hapa.

Sema tu nimepunguza mwanzo niliiua nakalili hadi dialogues.. Hasa kwenye Thor Ragnarok nilikua nimeikariri karibia nusu nzima ya muvi
chartering animal[emoji2]
 
Ila sema na yule Groot akikua atakuwa hatari sana. Nataman huko mbeleni waje wampe solo movie tuone Moto wake. Thor anamwita tree[emoji3]
 
Huwa naangalia mara chache sana.
Avengers na Transformes uongo mwingi
Muvi gani zina ukweli?? Maana hata drama siki hizi wanatumia Green background.
Transformers na Avanger hzo zote ni VFx oriented kwanza ukishasikia Marvel studio ujue kwamba vitu vingi wanaigizia studio na baadhi ya vipande wanachukua tu kwenye mazingira halisi.
Vipi Avatar yenyewe inaukweli??

Leo nilikua naangalia Behind the scene y Aquaman, Daah hizi muvi tuangalie tu tunainjoi ila ni ngumu sana kuzitengeneza hadi kua Realistic
 
Back
Top Bottom