bravocharlie
JF-Expert Member
- Feb 1, 2020
- 861
- 857
Kwenye comics tue strongest ni scarlet witch (wanda)2. Tesseract originate yake inaanzia huko kwenye viumbe waitwao Eternal. Nadhani muvi yake ikitoka tutaona zaidi. Ila kwasasa tunajua Tesseract ilikua Asgard for long time since asgardian wana long lifespan.. Odin alikua anaihifadhi.
3: Kwa muono wangu mapaka sasa kwa character walioletwa MCU the strongest Avanger ni Captain Marve.. kwanza anaweza kupaa bila kutumia means yoyote, anaweza kuvunja chochote kilicho mbele yake. Characters mwenye nguvu karibia kumfikia Carol ni Monica Rambaue. Ila wapo wengine kwenye comics huko strongest kuliko Carol.
Anayefutia ni Thor, sema thor bila Nyundo anakua mwepesi sana.
1. Regarding Captain Marvel movie Kree na Scrull war chanzo chake ilikua baada ya Kree kuwavamia Skrulls na kuharibu makzi yao ili waibe technology yao
Scene iliyo dhihilisha hili kwenye movie ni pale alipo mpiga thanos
She was going to kill him sema ile rain of fire ndio ilisaidia
Au?