Super women 2
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 5,164
- 6,540
[emoji23][emoji23][emoji23]Maswala ya kuvaa boxer nishaacha tangu nilipobalehe[emoji41] [emoji41]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]Maswala ya kuvaa boxer nishaacha tangu nilipobalehe[emoji41] [emoji41]
Dada yake hawezi kukupa hapo tegemea ex tu.Ahaa sasa huyu jamaa ana X weng sana sjajua ataamua kunipa X au dada yake mwengne
Mkeo mchafu sana!! Chupi siku2??? Sidiria si ndio habadilishi hadi ibadilike rangi sasa lol[emoji21]Mwanamke avae chupi siku 1 au 2 nami nivae boxer siku 1 au 2 tuache kuiga wake zetu.
[emoji4] [emoji4]Natumaini kuna watu wanatania tu. Boxer unaivaa asubuhi jioni unabadili. Marufuku kurudia, usiku unalala na pj au pensi loose hivi.
Kama una uwezo jitahidi usirudie nguo yoyote. Binafsi huwa narudia suruali tu hasa Jeans.
![]()
Wakuu, kama swali linavyojieleza hapo juu...Boxer inatakiwa ivaliwe kwa siku ngapi kabla ya kufuliwa?
Wanaume karibuni kutoa uzoefu na hata wanawake mnakaribishwa.
Ila Karucee ujue Me love ya...... For real I want yaBasi kazi ipo.
Wenzenu kwenye ndoa tunawabadilishia kila siku. wanakuwa so fresh so clean.
Oyoyoyoooooo Karucee na na Na nooooh...Hizi akili za pombe za jana peleka kwa muhudumu aliekulewesha.
Sasa unavaa nini?Maswala ya kuvaa boxer nishaacha tangu nilipobalehe[emoji41] [emoji41]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] aiseeMwanamke avae chupi siku 1 au 2 nami nivae boxer siku 1 au 2 tuache kuiga wake zetu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Weee mtu umenichekesha sana.Ukipata nyeusi unajipigia hadi mwezi mzima,kama ni nyeupe basi itapendeza Zaidi ukijipigia hadi week 2 hivi
massaa tu boxer ni kama chupi kwa wanawake kwa hiyo ukiivaa asubuhi unatakiwa ikifka ass za mchana unabadirisha la sivyo kumbuka kuwa kila mwanaume anapoenda haja ndogo hatuendi na tisue kwa hiyo hata ukingu'uta masalia yanabaki kuharibu sehemu kichwa cha chini kinapokaa kwa hiyo inashauriwa ubadirishe![]()
Wakuu, kama swali linavyojieleza hapo juu...Boxer inatakiwa ivaliwe kwa siku ngapi kabla ya kufuliwa?
Wanaume karibuni kutoa uzoefu na hata wanawake mnakaribishwa.