Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwani inavuliwa?Siku 1 tu jamani.....Unairudishaje mwilini tena kesho yake?
Hehehehe dah haya majibu mubasharaKwa mlioko maeneo ya joto siku moja ila tulioko kwenye baridi hata siku tatu nne
Hehehehe dah watu special case walahKwa siku za hali ya kawaida hapa dar navaa siku nne mpaka tano,kwa joto kama hili navaa siku tatu tu na inategemea kama sijafua navaa mpaka siku nne.
acha uchafu wewe kwa kisingizio cha baridiKwa mlioko maeneo ya joto siku moja ila tulioko kwenye baridi hata siku tatu nne
😵 Kumbe kuna wanaovaa zaidi ya siku moja 😱😱😕
hahaaa mkuu umetia foraKwa siku za hali ya kawaida hapa dar navaa siku nne mpaka tano,kwa joto kama hili navaa siku tatu tu na inategemea kama sijafua navaa mpaka siku nne.
Usafi Wa nguo za ndani sio kwa wanawake tu hata wanaume so acha mtazamo hasiBoxer wiki yani seven deizi. Ubadili kila siku umekua mwanamke.
Hakika nimeshangaa sana! Tena wengine wanasema hata mara tano! Labda kama wengi wanaorudia kuvaa ni teenagersUtavaaje boxer zaidi ya mara 1? Mimi ni siku moja ama awamu 1 tu, kwa maana nikienda kuoga tu siirudii niliyovua, naifua papo hapo. Ukivaa boxer siku zaidi ya 1 je soksi siku ngapi? Soksi pia ni siku 1
![]()
Wakuu, kama swali linavyojieleza hapo juu...Boxer inatakiwa ivaliwe kwa siku ngapi kabla ya kufuliwa?
Wanaume karibuni kutoa uzoefu na hata wanawake mnakaribishwa.
😀😀😀Tena huu uzi umenikimbusha ninunue suruali nyingine aisee maana nilizo nazo nazani wamesha ni crame...Nina nguo za juu nyingi kuliko za chini naweza kuvaa nguo za juu kwa miezi miwil bila kurudi but za chini Dar siwezi kumaliza wiki mbili bila kurewind