Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji13][emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
Hahaa... Nzuri kabisa. Nasubiri game. Nashukuru unanikumbuka....Triple G habari yako?[emoji4] [emoji4] [emoji4]
Klitchko alikuwa anaongoza kwa points.
Ila kilichomuangusha ni ile knockout .
Sasa hiyo ni split decision.View attachment 582337 Nenda kawadanganye huko "nanjirinji sio jamii forums"
Ndio ujuzi huo mkuuKlitchko alikuwa anaongoza kwa points.
Ila kilichomuangusha ni ile knockout .
Ndio ujuzi huo mkuuKlitchko alikuwa anaongoza kwa points.
Ila kilichomuangusha ni ile knockout .
Bibie Mswahili kweli kweli.....Bichwa lako la habari na utumbo wako wa habari haviendani.
Punguani wahed.
AJ uzito wake ni tofauti na Mayweather ni kama sisimizi kumlinganisha na temboHizi hilo jambazi mywether akijichanganya si linaua kabisa
Hao ni weight classes tafauti mkuu,mmoja ni heavyweight mwengine ni lightweightHizi hilo jambazi mywether akijichanganya si linaua kabisa
Lakn Aj atakiuwa hicho kitotoHao ni weight classes tafauti mkuu,mmoja ni heavyweight mwengine ni lightweight
Ndio mkuu lazima atampiga tu sababu yeye ananguvu zaidi.na hyo mechi haiwezi kuwepo kisheria labda wapiganie mtaani sio kwenye ulingoLakn Aj atakiuwa hicho kitoto
Klitchko alikuwa anaongoza kwa points.
Ila kilichomuangusha ni ile knockout .
Hauelewi boxingHii post haieleweki au mimi ndo siilewi?
Waweke tu iwepo mbona sisi tunapigana na baba zetu wametuzidi kilo kama zote[emoji23]Ndio mkuu lazima atampiga tu sababu yeye ananguvu zaidi.na hyo mechi haiwezi kuwepo kisheria labda wapiganie mtaani sio kwenye ulingo