Boxing: Anthony Joshua kupanda ulingoni tarehe 28/10/2017 kupambana na Kubrat Pulev

Boxing: Anthony Joshua kupanda ulingoni tarehe 28/10/2017 kupambana na Kubrat Pulev

IMG_7993.PNG
Nenda kawadanganye huko "nanjirinji sio jamii forums"
Klitchko alikuwa anaongoza kwa points.

Ila kilichomuangusha ni ile knockout .
 
Ndio mkuu lazima atampiga tu sababu yeye ananguvu zaidi.na hyo mechi haiwezi kuwepo kisheria labda wapiganie mtaani sio kwenye ulingo
Waweke tu iwepo mbona sisi tunapigana na baba zetu wametuzidi kilo kama zote[emoji23]
 
Back
Top Bottom