yello masai
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 3,662
- 3,715
Niruhusu basi ,acha kunitesa mwenzio.Lenie unaniangusha mtumishi mwenzangu.....nilidhani ulishachukua ile Saint Anna ukaiombee
Tulikubaliana utanisapoti ninywe😂Nilimwambia aniletee akasema poa, si akanichomesha mahindi stand!
Baba mtumishi sjui tumfanyaje huyu mama mtumishi kwakweli
Baba mtumishi kakataa usionjeTulikubaliana utanisapoti ninywe😂
Usiniangushe.
Kwahiyo unanisaliti!??Baba mtumishi kakataa usionje
Sitaki kumkwaza mtumishi mwenzangu😅
Inabidi uipate hiyo chupa kabla ya Jumapili usiku, najua atakua amevurugwa kinomaNilimwambia aniletee akasema poa, si akanichomesha mahindi stand!
Baba mtumishi sjui tumfanyaje huyu mama mtumishi kwakweli
Nafungua hiviInabidi uipate hiyo chupa kabla ya Jumapili usiku, najua atakua amevurugwa kinoma
Wewe utakunywa klymax....ama champagneNiruhusu basi ,acha kunitesa mwenzio.
Nasubiri useme suuuWewe utakunywa klymax....ama champagne
Aisee siku namfahamu huyo aliyekuzawadia hiyo kitu hataamini moto ntamuwashia
🤣🤣🤣🤣🤣Aisee siku namfahamu huyo aliyekuzawadia hiyo kitu hataamini moto ntamuwashia
Huko mbali sana mtumishi, inatakiwa niipate kabla ya new yr ili ihusike siku hyo kufungulia mwaka since mama mtumishi haruhusiwi kunywa hyo kitu😛Inabidi uipate hiyo chupa kabla ya Jumapili usiku, najua atakua amevurugwa kinoma
Na sisi tutaacha🤣🤣🤣🤣🤣
Mnataka mnywe pekeyenu tu,hapana
Haiwezekani😂😂😂😂😂
Usiruhusu shetani asababishe ugombane na baba mtumishi mkafunga mwaka vibaya😂😂🤣🤣🤣🤣🤣
Mnataka mnywe pekeyenu tu,hapana
Haiwezekani😂😂😂😂😂
Kabla hamjaacha ngoja na mama mtumishi ajaribu.Na sisi tutaacha