uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 17,060
- 32,400
Mapenz ya watu hayaingiliwagi mkuu,
Kilichotokea pale kwanza kukisema kwa rafik yangu itakua sio vizuri, Ntakua sijaheshimu faragha ya shemej yangu.
Na hata nikimwambia sijamfanya kitu, kwa Akili ya kawaida hatoamini na huenda akaanza kuniangalia kwa jicho la tofauti kua Kuna Cha ziada namficha.
Afu pia Kutoa ushauri kwa wapenzi na hujaombwa icho kinakua Ni kiherehere
Kweli kabisa