Akasema,
"Wanagonga milango na madirishani Sijui wanataka Nini Hawa watu. Nakufa meji nisaidie"
Nikamwambia,
"Nakuja meji, usipige kelele mi nakuja Apo sahv"
Basi nikageuza kurud kwa shemeji,
Wazo likanijia, uyu kasema kavamiwa. Sio salama kufika pale na gari wataona mwanga wa gari.
Basi nikaiacha mbali kidgo, nikajongea kwa mguu uku nimebeba rungu langu na sime mkononi. Kisha simu nikaweka silent mode
Kufika kwake nikaona Kuna ukimya Sana, nikakaa kwa mbali nione Kama ntaona Kuna kitu kitakatiza
Zaidi ya dkk 10 kimya, ikabd nisogee kukagua mazingira, nikaona bado kimya.
Nikaenda kumgongea mlango wa sebleni bado nikaona kimya askiki mtu.
Ikabd nizunguke kwenye dirishani la chumban kwake, nikakuta mbwa wawili wanagombea ndoo ya uchafu. Waliponiona wakakimbia.
Nikasogea dirishan nikaskia mtu anakoroma.
Nikaita "Shem Shem, nishafika ebu fungua mlango "
Akasema nakuja, Nikarud mlangoni
Ile mlango unafunguliwa,
nikaona Yuko uchi Kama alivozaliwa hata chupi hana afu akaniangukia nikamdaka asidondoke kumrudisha ndani.
Akawa hataki anasema wanataka kumuua nimvalishe aondoke.
Basi Nikachukua kikoi kilikua pale kwenye kochi nikafunika maana niliona aibu sana kumtizama.
Akazidi kulalamika,
Nikamwambia Hamna wachawi bhana hofu yako TU utakua uliskia mbwa walkua wanagombea ndoo ya vyakula vichafu nyuma ya dirisha lako.
Akasema "Aya"
Basi Nikamuinua nikamrudisha chumbani kwake na nikamlaza. Nikaskia anakoroma.
Nikamuaga nikaondoka zangu kurudi kwangu, Apo tunaenda kwenye mida ya saa 9 usku.
Kufika kwangu nikasingizia pancha Kuna rafki yangu nlkua nampeleka kwake nje ya mji afu sikUa na tairi spea, hivyo nkalazimika kulitoa na kulipeleka likazibwe na kuwekwa tyubu ili niweze kutoka pale.
Wife akanielewa,
Ila sasa nikabaki na maswali mengi Sana kichwan[emoji848]
[emoji117]Hivi kumbe mwanamke Akilewa anakua vile?[emoji848]
[emoji117]Hivi nisingekuja wale vijana si wangembaka uko ambako wangempeleka?[emoji848]
[emoji117]Hivi Kama ningekua mtu wa hovyo si ningeshatembea na shemeji yangu kwa Hali ile[emoji848]
Kwakweli nmegundua pombe haifai kunywewa na mwanamke Alie kwenye mahusiano na mtu,
Mwanamke akishalewa kukusaliti Ni nje nje
Kiukweli,
TUCHUKUE sana TAHADHALI KUWALINDA TUWAPENDAO.
Wanawake wengi pombe zinawapeleka hovyo.
Uzi tayari[emoji4]
Sent using
Jamii Forums mobile app