Boxing Day 2021: Kumbe Mwanamke akishalewa, usaliti ni nje nje!

Sikutegemea kama story ingeishia hivi, aisee kumbe bado kuna wanaume wa aina hii, unajiheshimu na kumuheshimu mkeo hadi raha
 
Sio kwa wanawake tu, pombe hata mwanaume ukilewa unaweza lala na mwanamke usietarajia...na ndiyo wengine magonjwa wanayapatia huko huko
 

Umevumilia vita vikali sana ila ni wachache sana wanatoboa hizo challenge
 
Hongera sana mkuu kwa moyo wako..
mi nipo hapa na manzi wa rafiki yangu wa karibu sana tunakula raha za dunia hotelini, mambo ya ushemeji mi hayanihusu maana hawajafunga ndoa[emoji846]

Wapenzi wetu wamesafiri wote kwenda Moshi, asikwambie mtu shemeji mtamu[emoji9]
 
Chupi alishaikojolea tangu kwenye gari, bado mulivyofika home unamvua na kuimvalisha tena hiyo mikojo vipi?

Vip wewe mwenyewe si ulifika kwako unanuka mikojo? Maana sio kwa pilika hizo

Nilichogundua shem wako alikuwa anajitambua, alitaka umlale sema alijivisha mwamvuli wa ulevi kutoa aibu.

Kumbe ndo maana wanasema wanawake walevi pombe ukimbilia chini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…