Boxing Day 2021: Kumbe Mwanamke akishalewa, usaliti ni nje nje!

Unafikiri shida ni pombe bulaza.

Hata wembamba nao ni shida blooo.

Hayo majaribu yalitokana na kubebana bebana tu na sio kingine.

🤣🤣🤣🤭🤭🤭🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️
 
Kahama
 
Yaani umemvua mwanamke mpaka chupi yake na kuwacha kama alivyozaliwa halafu unaona uko sawa? Umejitafutia dharau na kusemwa na shemejio kwamba ulitaka kumbaka. Huwa hatuachi katika hatua hiyo, bora ule kuliko kupakua ukaacha juu ya meza utaonekana bado ni mlafi hata kama hukula.
 
unafikiri shida ni pombe bulaza.

Hata wembamba nao ni shida blooo.

Hayo majaribu yalitokana na kubebana bebana tu na sio kingine.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2090][emoji2090][emoji2090]
[emoji2]kubebana kivipi mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisa mkuu,
Pombe Zitakuazilikimbilia chini.

Kwa Akili zile za kumvua na kumvalishanilikua nafanya ile Basi TU, ila kiukwel ilkua kero sana kwangu.

Sema sasa
ntafanyaje na mazingira yalikua yashakua vile.

Ile yote Ni kuhakikisha TU usalama wake TU.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimesoma yote kufika eneo la kumrudisha shemeji nyumbani nimechekaaaa 😆😆😆😆😆

Daah nakuamini, hizi nyakati hutokea na nimejikuta namkumbuka Allen....A Friend In Need.....
 
Wee jembe ungezembea ungeshambatua halafu hujui afya yake mwisho maradhi. Nakupongeza sana wewe ni kamanda.

Pombe ni chanzo cha maradhi mengi ya ngono.
 
Nimesoma yote kufika eneo la kumrudisha shemeji nyumbani nimechekaaaa [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Daah nakuamini, hizi nyakati hutokea na nimejikuta namkumbuka Allen....A Friend In Need.....
[emoji2] Fafanua kidg mkuu, Alikuaje uyo friend wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…